Asia Gamba
-

Vifo vyaongezeka kwenye familia moja ya watu sita waliouawa mkoani Kigoma nchini Tanzania.
Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kigoma, Maweni Dkt, Stanley Binagi amethibitisha kifo cha mtoto huyo kilichotokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro akiwa njiani kupelekwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili…
-

Mawakili wa Serikali wakwamisha kesi ya CHADEMA
Kesi hiyo iliyopo mbele ya Jaji Adam Mambi imeahirishwa leo Jumanne, tarehe 5 Julai 2022, hadi Jumatatu ijayo ya tarehe 11 Julai 2022.
-

Wasichana wang’ara ufaulu wa masomo ya Sayansi kidato cha sita
Kwa upande wa watahiniwa waliofanya vizuri zaidi kitaifa katika mtihani huo kwenye masomo ya sayansi, wasichana wamekuwa kinara ambapo wako saba wote kutoka Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu, iliyoko mkoani Tanga, huku…
-

Aliyekuwa bosi wa TPA asomewa mashtaka akiwa kitandani Muhimbili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ilihamia kwa muda jana katika hospitali hiyo kwa ajili ya kumsomea Kipande mashtaka yanayomkabili kuanzia saa 8:57 hadi saa 9:08 mchana, likiwamo la kuisababishia TPA hasara ya shilingi bilioni 4.2.
-

Samaki wa ajabu apatikana Mtwara nchini Tanzania
Samaki huyo alivuliwa na wavuvi wa hiyari, ambao hutega nyavu zao baharini, ambazo hubeba chochote kilichopo Baharini.
-

Kigogo TPA atumbuliwa
Rais Samia amechukua uamuzi huo saa chache baada kusema haridhishwi na kasi ya utendaji wa bandari za Tanzania na kuwataka watendaji waache siasa na longolongo wakati wa utekelezaji majukumu yao
-

Mwanaume mmoja nchini Tanzania akatwa sehemu za siri akiwa kwenye kilabu cha pombe
Tukio la mwanaume huyo kukatwa nyeti lilitokea Juni 28, 2022 usiku ambapo inadaiwa kuwa alikuwa kwenye kilabu cha pombe za kienyeji na alipotoka nje kujisaidia akakutana na watu hao na kumkata kwa kutumia kisu.
-

Upotoshaji wamkera Rais wa Zanzibar Dk. Mwinyi
Rais Mwinyi alisema baada ya serikali kuingia makubaliano na kampuni ya kimataifa ya Dnata kuendeshwa uwanja wa ndege kisasa, yamekuwapo maneno mengi ya upotoshaji.
-

Miili ya familia ya watu sita waliouawa wazikwa usiku
Miili hiyo imezikwa kwa pamoja jana Jumapili Julai 3, 2022 , majira ya usiku, huku vilio na simanzi zikitawala
-

Miaka 30 ya Vyama Vingi: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele
Leo Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati taifa linapoanza njia mpya.…







