Mtafiti wa Colombia auawa na tembo nchini Uganda
Mtafiti kutoka Colombia amekanyagwa hadi kufa na tembo katika Mbuga ya Kitaifa ya Kibale
Mtafiti kutoka Colombia amekanyagwa hadi kufa na tembo katika Mbuga ya Kitaifa ya Kibale
Waziri Mkuu wa Italia Mario Draghi aliwasili Algeria huku Roma ikiongeza juhudi za kupunguza utegemezi wake mkubwa wa gesi ya Urusi.
Kwa mujibu wa sheria za Fifa, mbali na rais wa nchi, ni wachezaji waliokuwa sehemu ya timu iliyoshinda Kombe la Dunia pekee ndio wanaruhusa kushika kombe hilo.
Musk alitajwa kujiunga na bodi ya Twitter baada ya kununua hisa za asilimia 9.2 na kuwa mwanahisa wake mkubwa zaidi.
Conde 84 alikuwa rais wa kwanza wa Guinea kuchaguliwa kidemokrasia. Aliondolewa madarakani na maafisa wa jeshi mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Kanali Mamady Doumbouya
Kundi la M23 lilianzishwa miongoni mwa wanachama wa zamani wa wanamgambo wa Kitutsi wa Congo ambao wakati fulani waliungwa mkono na Rwanda na Uganda.
“Bei za bidhaa za chakula duniani zilipanda kwa kiasi kikubwa mwezi Machi kufikia viwango vyake vya juu zaidi,”FAO
Nyota huyo ambaye anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza na mpenzi wake rapa ASAP Rocky, alitangazwa rasmi kuwa mwanamke tajiri zaidi katika muziki mwaka jana.
Toumi, 64, ambaye amezuiliwa tangu Novemba 2020, alishtakiwa kwa kufuja pesa za umma, matumizi mabaya ya ofisi na kutoa marupurupu isipostahili.
Wakati janga hilo limekuwa na athari mbaya kwa sehemu zingine za ulimwengu, Afrika ilionekana kuepuka athari hizo na haikuathiriwa vibaya kama ilivyohofiwa mwanzoni mwa janga hilo.