Nchi ya Tonga yaripoti kisa cha kwanza cha UVIKO 19.
Ripoti ya UN tarehe 29 Oktoba 2021 imeonyesha kuwa mataifa manne pekee hayajaripoti visa vyovyote vya UVIKO 19.
Ripoti ya UN tarehe 29 Oktoba 2021 imeonyesha kuwa mataifa manne pekee hayajaripoti visa vyovyote vya UVIKO 19.
Jumamosi 30 OKtoba, maelfu ya waandamanaji wanaodai uongozi wa kiraia wataanaandamana katika Millions March
Mark Zuckerberg, aliyeanzisha Facebook mwaka wa 2004, alitangaza Alhamis jina jipya la Facebook
Kesi kuhusu mauji ya Thomas Sankara ilianza Oktoba 11 2021, watuhumiwa 12 kati ya 14 wa mauji walikuwa mahakamani Jumatatu ikiwemo jenerali Gilbert Diendere aliyekuwa mkuu wa jeshi wakati wa mapinduzi ya 1987.
Kituo hicho kitakuwa na ukubwa wa futi 32,000 mraba kitawapa wateja fursa ya kuzalisha filamu,kufanya utafiti na nafasi ya hoteli ya kitalii
Jenerali al- Burhan anasema mapinduzi yalibidi kufanyika kuepuka vita vya wenyewe kwa wenyewe, akisisitiza kuwa uchaguzi wa kurejesha uongozi wa kiaria utafanyika Julai 2023.
Upinduzi wa serikali ya mpito umeondoa matumaini ya mabadiliko ya amani ya uongozi hata baada ya kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa Rais Omar al-Bashir mwaka wa 2019.
Shambulio la bomu kwenye basi Jumatau lilitokea saa kadhaa baada ya kundi la Islamic State (IS) kudai kuhusika na shambulio jingine la bomu
Tuzo za Oscars awamu ya 94 zitafanyika Machi 2022 nchini Amerika.
Rosemary aliwasajili jamaa zake kwa mipango ya bima ya maisha na mazishi,nakupanga mauaji ya binamu yake, dadake, mpenziwe, mpwa wake na jamaa