Wadh Kassim
-

Somalia Clashes With Regional Forces Over Control of Key City
Troops loyal to Laftagareen again attacked Somali army positions in the state capital, Baidoa, around 5:00 am on Monday, this time with the help of Al-Shabaab militants, according to a statement by the federal government.
-

Trump Threatens to Bomb Oman if it Gets in Way of Iran Deal: Report
Trump told Yingst that there is a direct back-channel between his administration and officials of Iran’s Revolutionary Guard. “They’re good poker players, but they’re dying,” he was quoted as saying.
-

Mahakama Kuamua Iwapo Lissu ana Kesi ya Kujibu Baada ya Serikali Kufunga Ushahidi
Kupitia Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, Jamhuri imeiambia Mahakama kuwa baada ya kupitia ushahidi uliokwisha kutolewa na kuuchambua pamoja na ushahidi uliokuwa umebaki, imejiridhisha kuwa hakuna sababu ya kuendelea kuwaita mashahidi wengine.
-

Challengers to Uganda Leader Face State Attack: Opposition Leader’s Wife
Anyone who challenges Uganda’s longtime leader faces the full force of the state, the wife of a jailed veteran opposition leader warned Saturday, urging authorities to release her unwell husband for treatment.
-

Shahidi Akwamisha Kesi ya Lissu, Mahakama Yaahirisha hadi Jumatatu
Lissu ameendelea kupinga kuahirishwa kwa kesi hiyo akidai kuwa upande wa Jamhuri umekuwa ukiomba kuahirishwa kwa kesi mara kwa mara bila Mahakama kuchukua hatua dhidi yao.
-

Shahidi wa Kificho Asema Ana Hofu Kutoa Ushahidi Hadharani Katika Kesi ya Uhaini ya Lissu
Shahidi wa kificho katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameieleza Mahakama Kuu kuwa ana hofu ya kutoa ushahidi wake hadharani, akisema suala hilo ni “very sensitive” na kwamba wafuasi wa chama…
-

Kesi ya Lissu: Shahidi Akiri Kutoeleza Tofauti ya Ushahidi wa Maelezo ya Polisi na Aliotoa Mahakamani
Lissu: Shahidi, nataka kwanza nianze na maswali yangu ya jana kuhusu tofauti kati ya ushahidi ulioutoa kwenye maelezo ya polisi na ushahidi ulioutoa kizimbani. Waeleze Waheshimiwa Majaji kama unaamini maelezo yako yanapaswa kuaminiwa na mahakama.…
-
Lissu Atumia saa Nane Kumuhoji Shahidi wa Jamhuri, Akumbushia Kupigwa Risasi na Kukamatwa na Polisi
Lissu pia alitumia sehemu ya mahojiano hayo kumkumbusha shahidi kuhusu historia ya kukamatwa kwake katika vipindi mbalimbali akiwa mwanasiasa na mbunge, pamoja na tukio la kupigwa risasi mwaka 2017.









