Watu 58 wafariki dunia kutokana na mafuriko nchini Tanzania kwa kipindi cha Aprili
Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, ukanda wa Pwani ndio ulioathirika zaidi ambapo watu 33 kati ya 58 wamefariki katika mkoa wa Morogoro na Pwani.