Uhamasisho wa Uhalifu wa Mtandao Wazidishwa Barani Afrika
Mtandao wa African Cybersmart umeundwa ili kuimarisha elimu kwa umma na kukuza tabia salama za mtandaoni kwa kuwezesha kujenga uwezo kupitia mafunzo, ushirikiano na kubadilishana maarifa kati ya wahamasishaji wa usalama wa mtandao