Gender
-

Je, wakati umefika kwa mwanawake kuolewa na zaidi ya mume mmoja?
Kwa kawaida katika mataifa mengi duniani, ndoa zilizozoeleka ni ndoa kati ya mume mmoja ma mke mmoja. Katika tamaduni ya mataifa mengi barani Afrika na katika mataifa ya kiislamu ndoa kati ya mume mmoja na…
-

Maajabu msichana wa miaka 5 ajifungua mtoto wa kiume
Kisa kama cha Lina kinafahamika kama ‘precocious puberty’ ikimaanisha kuwa mtoto huanza kubalehe mapema kabla umri wa kawaida wa miaka 8 kwa wasichana na miaka 9 kwa wavulana.
-

Afisa wa polisi awaua jamaa zake watano na mpenzi wake ili afaidike na pesa za bima
Rosemary aliwasajili jamaa zake kwa mipango ya bima ya maisha na mazishi,nakupanga mauaji ya binamu yake, dadake, mpenziwe, mpwa wake na jamaa
-

Oktoba 20, kumbukizi ya mauaji ya Rais wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi
Chini ya uongozi wa Muammar Gaddafi taifa la Libya lilishuhudia maendeleo katika nyanja tofauti ikiwemo elimu, afya, muundo msingi na makazi.
-

Uganda Cranes Head Coach convicted on two counts of sexual assault
Milutin Sredojevic alias ‘Micho’ has been found guilty of two counts of sexual assault.
-

Wanawake waliovunja rekodi katika kujifungua pacha wengi
Mji wa Igbo-Ora nchini Nigeria ni kati ya miji inayorekodi idadi kubwa ya visa vya kuzaliwa kwa watoto pacha duniani.
-

Angry mob kills child killer after escape from police custody in Kenya
Masten Wanjala confessed to killing 13 children and drinking their blood.
-

Je, nani ataibuka mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2021?
Nyota wa kandanda Lionel Messi, Jorginho na N’Golo Kante wametajwa katika orodha ya wachezaji wengine 30 watakaowania tuzo ya Ballon d’Or 2021.
-

Wafahamu watu walioinukia kwenye Sanaa na michezo na baadae kushinda nyadhfa za uongozi nchi mwao
Rais wa Liberia George Weah alikuwa mwanakandanda wa timu ya taifa kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na siasa na kuwa rais wa taifa.
-

Mumewe Agnes Tirop ndiye mtuhumiwa mkuu wa mauaji yake
Mauaji ya mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop huenda yalitokana na mzozo wa kimapenzi.







