El Niño? Jinsi Mvua Kubwa Ilivyoathiri Maelfu ya Watu Nchini Kenya
Takriban kaya 80,000 nchini Kenya zimeathirika huku idadi ikiongezeka kila siku
Takriban kaya 80,000 nchini Kenya zimeathirika huku idadi ikiongezeka kila siku
Ubalozi wa Uingereza ulisema ziara hiyo, ambayo inafuatia safari za Ujerumani na Ufaransa mapema mwaka huu, “itaangazia ushirikiano thabiti na wenye nguvu kati ya Uingereza na Kenya”.
Wanawake wanne wamefariki dunia katika mkanyagano magharibi mwa Kenya leo Ijumaa baada ya umati wa watu kuogopa mlio uliotokana na kumwagika kwa chai ya muuzaji mmoja kwenye moto wakidhanini ni gesi ya kutoa machozi .
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeishutumu Rwanda kwa kutumia mbinu za ukandamizaji kuwalenga wakosoaji wake nje ya nchi, wakiwemo wale ambao wametafuta ulinzi wa kimataifa
Benki ya Dunia pia imetangaza kuwa itaunda kiti cha tatu cha mataifa ya Afrika katika bodi yake yenyewe, uamuzi utakaofanywa rasmi katika mikutano ya Oktoba 9-15 huko Marrakesh
Polisi walikanusha kuwa Wine alikamatwa, wakisema “walimsindikiza” kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe hadi nyumbani kwake
The vehicles are two-wheelers, with a place for a driver and a passenger, and instead of a petrol-powered engine are driven by an electric engine supplied by a battery.
Pastor Dorcas appreciated the contribution of the numerous partners and volunteers who had stepped forward to support the boy child program since inception.
The Bongo family has ruled Gabon for more than 50 years
This emerged during the 23rd anniversary to mark the death of Father John Antony Kaiser who was murdered and his body found dumped in Morendat, Naivasha in August 2000.