chadema
-

Jamhuri Yamuhoji Golugwa Kuhusu Madai ya Uchaguzi
Golugwa amekiri kuwa katika taarifa hizo kulikuwa na msimamo wa Chadema wa kutoshiriki uchaguzi hadi Serikali itakaposhinikizwa kufanya mabadiliko. Alipoulizwa ni nani aliyepaswa kushinikizwa, alijibu kuwa ni Serikali.
-

Golugwa: Kesi Dhidi ya Lissu Ililenga Kuzima Operesheni ya ‘No Reforms No Elections’
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara ndugu Amani Golugwa ameendelea leo kutoa ushahidi wake wa utetezi dhidi ya Tundu Lissu huku akiweka mkazo wenye msisitizo kwamba tuhuma zinazomkabili Mwenyekiti wao ni tuhuma za uongo na…
-
Golugwa: Uchaguzi wa 2024 Ulikuwa Chanzo cha Msimamo wa “No Reforms, No Elections”
GOLUGWA: Tarehe 10 December 2024, Mwenyekiti wa Chama wakati huo Mh. Freeman Mbowe akatoa tamko rasmi ya chama, msimamo wa Kamati Kuu yaliyoazimiwa kwamba hatutakuwa tayari kwenda kwenye uchaguzi mwingine wowote bila mabadiliko kwenye mifumo…
-

Jamhuri Yamkaba Mnyika Ya Oktoba 29 Kesi Ya Lissu
Mnyika amesema CHADEMA ilikuwa imejiandaa kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa mujibu wa Katiba, licha ya kile alichokiita mapungufu yaliyokuwepo.
-

Mnyika: No Reforms No Elections Ilikua Chini Ya Mwenyekiti Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, John Mnyika, ameendelea kuhojiwa kwa maswali ya dodoso na upande wa Jamhuri katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
-

John Mnyika Aanza Kutoa Ushahidi Wa Utetezi Katika Kesi Ya Lissu
Sehemu kubwa ya ushahidi wa Mnyika imejikita katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika Aprili 3, 2025 katika makao makuu ya chama Mikocheni, Dar es Salaam. Mnyika ameieleza Mahakama kuwa mkutano huo ulikuwa wa ndani wa chama,…
-

Lissu Aibua hoja Kuhusu Uchaguzi na Tuhuma za Uhaini
Katika mahojiano yake ya maswali ya dodoso kwa shahidi, Lissu alitaka shahidi aeleze iwapo hotuba yake ilikuwa ikizungumzia masuala ya uchaguzi na changamoto za mfumo wa uchaguzi nchini.
-

CHADEMA: Hakuna mazungumzo ya siri, Lissu aachiliwe huru kwanza
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijawahi kufanya mazungumzo ya siri na serikali kuhusu maridhiano ya kisiasa, kikisisitiza kuwa msimamo wake unabaki ule ule wa kutaka Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuachiwa huru…
-

Chadema yadai Tundu Lissu yuko hatarini gerezani, yataka hatua za haraka
Katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatatu, Julai 27, na kusainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa chama hicho, Brenda Rupia, CHADEMA imesema imepokea taarifa kutoka kwa shirika la World Liberty Congress, linalojihusisha na…







