CHADEMA yapinga ripoti ya tume ya uchunguzi machafuko ya Oktoba 29
Ndugu samia hana mamlaka ya kimaadili wala kisiasa kuunda chombo cha kuchunguza uhalifu mkubwa uliofanywa na utawala wake dhidi ya raia.
Ndugu samia hana mamlaka ya kimaadili wala kisiasa kuunda chombo cha kuchunguza uhalifu mkubwa uliofanywa na utawala wake dhidi ya raia.
Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 imeeleza kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania zilitokana na mkusanyiko wa changamoto za muda mrefu zilizokuwa zikijengeka ndani ya jamii bila kushughulikiwa ipasavyo.
“Tumeshasema wazi, mtu anayeweza kuongoza chama hiki kufanya maamuzi yoyote yuko gerezani. Mwachieni Lissu” alisema Heche
Itakumbukwa kuwa Juni 10,2025 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, ilizuia kwa muda shughuli za kisiasa za chama hicho Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, baada ya aliyekuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho upande wa Zanzibar, Said Issa Mohamed, na wenzake, kufungua kesi ya msingi wakilalamikia hatua ya chama hicho kuibagua Zanzibar katika shughuli zake, zikiwemo rasilimali za kifedha.
The Tanzania Appellate Court has quashed the High Court’s decision barring the opposition party Chadema from engaging in political activities.
Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025 katika Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, wakati wa operesheni maalum iliyopewa jina la “No Reforms No Election”, kampeni iliyolenga kushinikiza mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi nchini.
During his time in Parliament, Bungara became known for his bold stand on public issues, his outspoken style and the humour he often used while making his points.
Tundu Lissu ni mwanasiasa mkongwe wa upinzani na mmoja wa wakosoaji wakuu wa sera na utendaji wa serikali nchini Tanzania, anakabiliwa na mashtaka ya Uhaini ambayo anadaiwa kuyatenda mnamo mwezi Aprili 2025. Kesi yake imeibua mjadala mpana kuhusu uhuru wa kisiasa, nafasi ya upinzani na mwenendo wa haki katika masuala yanayogusa wanasiasa.
“The October 29 election is null and void and all results must be cancelled,” Heche said, adding that Tanzanians were denied a genuine chance to choose their leaders.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025, amesema Rais Samia hana mamlaka ya kimaadili wala kisiasa kuunda chombo cha kuchunguza kile chama hicho kinachokitaja kuwa ni uhalifu uliotekelezwa na Serikali yake dhidi ya raia waliokuwa wakidai haki zao za kidemokrasia.