Wakenya wapo tayari kuuza figo kukabiliana na hali ngumu ya maisha
Hospitali kuu ya umma nchini Kenya inasema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu wanajitolea kuuza figo zao.
Hospitali kuu ya umma nchini Kenya inasema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu wanajitolea kuuza figo zao.
Nchi za kipato cha juu zilichangia asilimia 15 ya vifo,
Mataifa ya kipato cha kati yalichangia vifo asilimia 28; mataifa ya kipato cha chini asilimia 53; na nchi zenye kipato cha chini asilimia nne.
Wakati janga hilo limekuwa na athari mbaya kwa sehemu zingine za ulimwengu, Afrika ilionekana kuepuka athari hizo na haikuathiriwa vibaya kama ilivyohofiwa mwanzoni mwa janga hilo.
Kampuni ya BioNTech iliyoko Mainz ilisema ilipata faida ya jumla ya euro bilioni 10.3 (dola bilioni 11.5) mwaka jana, kutoka euro milioni 15 mnamo 2020
Siku ya Jumamosi iliripoti vifo viwili vya Covid-19 ikiwa ni mara ya kwanza kwa mwaka huu.
Licha ya kuwepo kwa vuguvugu la kupinga chanjo nchini humo, Vituo vya Amerika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) vinasema zaidi ya asilimia 80 ya watu wamechanjwa
“Kushindwa kwa usambazaji sawa wa chanjo ni matokeo ya moja kwa moja ya maamuzi ya kisera na kibajeti ambayo yanatanguliza afya ya watu katika nchi tajiri kuliko afya ya watu wa nchi maskini,”alisema Guterres.
Moderna ilisema ilitarajia kuwekeza dola milioni 500 katika kituo hicho kipya, ambacho kitatoa chanjo kwa bara la watu bilioni 1.3.
“UVIKO 19 bado ni hatari ikiwa “83% ya wakazi wa Afrika bado hawajapokea dozi ya kwanza ya chanjo,” Tedros Adhanom Ghebreyesus WHO
BioNTech ilisema inalenga kuanzisha “kituo cha kwanza cha uzalishaji wa chanjo katika Umoja wa Afrika”