Mahakama ya ufisadi Kenya yafuta kesi dhidi ya naibu rais Rigathi Gachagua
Hakimu Victor Wakumile alionya washtakiwa kuwa wanaweza kukamatwa tena katika siku zijazo kwa makosa kama hayo.
Hakimu Victor Wakumile alionya washtakiwa kuwa wanaweza kukamatwa tena katika siku zijazo kwa makosa kama hayo.
Afrika Kusini imeondoa masharti ya visa kwa Wakenya wanaosafiri kwenda taifa hilo la kusini mwa Afrika kuanzia Januari 2023 kwa muda wa siku 90 kila mwaka
Mahakama iliwaamuru kusitisha mgomo wao wa siku kadhaa uliosababisha mamia ya safari za ndege kufutwa na maelfu ya abiria kukwama
Jaji Anna Mwaure siku ya Jumanne aliamuru “marubani wa Kenya Airways kurejelea majukumu yao kama marubani ifikapo saa 12 asubuhi tarehe 9 Novemba 2022 bila masharti”
The meeting was held in in Shamar El Sheikh, Egypt,on the sidelines of the meeting of United Nations Framework on Climate Change (COP-27)
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili mjini Beijing, China kwa ziara ya kiserikali inayolenga kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Moto huo ulianza tarehe 21 mwezi oktoba karibu na eneo la Karanga linalotumiwa sana na wanaokwea mlima huo.
Luftunisa Kwandwalla, 44, alikuwa akizuru mji wa Mombasa alipokutana na kifo chake Agosti 2020, na kuzikwa siku moja baadaye, lakini familia yake imedai mchezo mchafu
Pakistan will hold a formal inquiry into the killing in Kenya of a top TV news anchor who fled the…
Rishi Sunak, is set to become the 56th Prime Minister of the United Kingdom, and the next leader of the Conservative Party