Linda Mwananchi
-

TIFA: Ruto na Sifuna ndio wagombea bora kwenye kinyang’anyiro cha urais 2027
Rais William Ruto na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna wameibuka kuwa wagombea wa urais wanaopendelewa zaidi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, huku Sifuna akipendelewa sana miongoni mwa Vijana nchini. Kwa mujibu wa utafiti mpya…
-

Chama cha Equitable chabadilishwa kuwa Linda Mwananchi na kutangaza viongozi wanaopendekezwa
Chama cha The Equitable Paty kinachoongozwa na Seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna kimebadilishwa rasmi na kuwa Linda Mwananchi katika hafla iliyohudhuriwa na kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua, Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na…
-

Gachagua na Linda Mwananchi Wakutana: Nini Kinapikwa?
Wafuasi wa upinzani nchini Kenya wanapoendelea kusubiri kwa hamu na ghamu kwa viongozi wa upinzani kumtangaza atakayekabiliana na Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu ujao, kiongozi wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP),…
-

#BREAKING: Sifuna Avuna Ndani Ya Chama Kipya- The Equitable Party
Sababu kuu ya Sifuna kujiunga na TEP inaweza kuwa ni kwa sababu chama hiki tayari kilikuwa kimesajiliwa kikamilifu, na kilikuwa na miundombinu ya haraka kwa uchaguzi wa 2027.
-

Chama kipya cha Sifuna chasajili wanachama zaidi ya milioni moja kwa saa 24
Chama kipya cha The Equitable Party (TEP) kinachoongozwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kimefanikiwa kusajili wanachama zaidi ya milioni moja katika kipindi cha saa 24 tangu kuzinduliwa kwake, kutoka wanachama takriban elfu 30 wakati…
-

Seneta Sifuna Ajipanga na Chama cha TEP Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027
Seneta wa kaunti ya Nairobi na kiongozi wa mrengo wa Linda Mwananchi Edwin Sifuna amezindua chama kipya cha kisiasa cha The Equitable Party of Kenya (TEP) ambacho anatarajiwa kutumia kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa…
-

Wakenya kuwasha mwanga wa mishumaa kumkumbuka Raila Odinga
Chama cha ODM kinatarajiwa kuandaa zoezi la kitaifa la kuwasha mwanga wa mishumaa Ijumaa, Oktoba 2, 2026 kumukumbuka aliyekuwa kiongozi wao na Waziri Mkuu wa Kenya marehemu Raila Odinga, mwaka mmoja baada ya kifo chake.…
-

Sifuna: Maisha Yangu Yamebadilika Pakubwa Mwaka Mmoja Uliopita
Nyota ya kisiasa ya Seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Watenya Sifuna imeonekana kung’aa kwa kiwango kikubwa baada ya kufariki kwa aliyekuwa Kinara wa upinzani wa muda mrefu nchini Kenya hayati Raila Odinga. Migawanyiko ya…








