Mwanzo TV
-

Kenya: Mfanyabiashara na mwanasiasa Stanley Livondo afika mbele ya DCI
Mfanyabiashara Stanley Livondo, amesisitiza madai ya kuwepo kwa njama ya mauaji dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta.
-

Upinzani Zimbabwe unaishutumu serikali kwa udanganyifu katika uchaguzi
Mnangagwa, ambaye alichukua madaraka mwaka 2017 baada ya Mugabe anashutumiwa kwa kuwanyamazisha wapinzani.
-

WHO: Janga la UVIKO- 19 halijaisha na ulimwengu unapaswa kutarajia “aina hatari zaidi ya virusi” kuibuka
“UVIKO 19 bado ni hatari ikiwa “83% ya wakazi wa Afrika bado hawajapokea dozi ya kwanza ya chanjo,” Tedros Adhanom Ghebreyesus WHO
-

China: Mwanamume ashikiliwa kama ‘mtumwa wa damu’ na kutolewa damu kwa miezi kadhaa
Li alitolewa damu nyingi sana hivi kwamba watekaji wake walianza kumtoa damu kichwani kwani mishipa ya mikononi haikuweza tena kutoa damu ya kutosha.
-

Zimbabwe: Wafuasi 80 wa upinzani wakamatwa wakifanya kampeni
Aliyekuwa waziri wa fedha na makamu wa rais wa CCC, Tendai Biti, pia alizuiliwa kwa saa kadhaa alipokuwa akifanya kampeni.
-

Vitoa machozi vyafyatuliwa dhidi ya waandamanaji Sudan
Maandamano yameitikisa nchi hiyo tangu mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan kuongoza unyakuzi wa kijeshi mwezi Oktoba
-

Suicide bomber kills 14 in restaurant in Somalia
Somalia is due to wrap up voting for the lower house of parliament by February 25 under the latest timetable for the elections, which are already more than a year behind schedule.
-

Ethiopia begins generating electricity from controversial mega-dam
The Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) is set to be the largest hydroelectric scheme in Africa but has been at the centre of a regional dispute ever since work first began in 2011.
-

Freeman Mbowe akutwa na kesi ya kujibu
Kesi imepangwa kuanza Machi 4, wakati Mbowe na watuhumiwa wengine watakapowasilisha utetezi wao.
-

Kenya: Dereva auawa,wanafunzi na walimu wajeruhiwa katika shambulizi
Walimu na wanafunzi hao walikuwa wakitoka katika safari ya kimasomo katika msafara wa mabasi matatu







