Mwanzo TV
-

Gunmen kill 8 traders, 51 cows in Nigeria cattle market
Southeast Nigeria, where separatist agitations are on the rise, has seen a spate of attacks.
-

Ajali ya basi yawaua watu 10 nchini Sudan
Ajali ya basi kwenye barabara kuu katikati mwa Sudan siku ya Jumatano ilisababisha vifo vya takriban watu 10 na kuacha kadhaa wakiwa wamejeruhiwa, mamlaka ilisema. Ajali hiyo ilihusisha mabasi mawili na ilifanyika katika wilaya ya…
-

Ex-Mozambique president to testify in country’s biggest corruption scandal
Mozambique is ranked among the poorest country in the world.
-

Watu wanane wafariki katika moto Ivory Coast
Watu wanane walifariki na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati moto ulipoteketeza duka la kuoka mikate magharibi mwa Ivory Coast siku ya Jumatano, mamlaka ya eneo hilo ilisema. Moto huo ulizuka asubuhi katika duka la Man, mojawapo…
-

Matamshi ya Naibu Rais William Ruto kuhusu Wakongo yazua gadhabu
Mjumbe wa Kenya DR Congo, alikiri kumekuwa na “maoni hasi” baada ya matamshi ya Dkt Ruto kuhusu nchi hiyo kukosa uwezo wa kufuga ng’ombe wa maziwa.
-

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Tundu Lissu mjini Brussels
Rais Samia na Kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu walijadili masuala mbalimbali yenye maslahi kwa nchi ya Tanzania,
-

Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso aapishwa kuwa rais
Paul-Henri Sandaogo Damiba alitawazwa kuwa rais siku ya Jumatano, zaidi ya wiki tatu tu baada ya kuongoza mapinduzi ya kumuondoa madarakani Rais Roch Marc Christian Kabore.
-

Shindano la urembo kwa kuku lafanyika mjini Tripoli,Libya
Ndege hao waliwekwa katika mizani ya urembo kwa kuzingatia rangi ya manyoya yao na ukubwa umbo lao.
-

Wanamgambo wa waua 18 mashariki mwa DR Congo
mashambulizi ya CODECO yamesababisha mamia ya vifo na kusababisha zaidi ya watu milioni 1.5 kukimbia makazi yao
-

Sudan Kusini iko katika hatari ya kurejea vitani, Umoja wa Mataifa waonya
Taifa hilo jipya zaidi duniani limekumbwa na misukosuko tangu lilipopata uhuru mwaka 2011







