Mwanzo TV
-

Mke wa Ali Kiba adai talaka
“Mlalamikiwa (Ali Kiba) amefanya mzaha kwa ndoa yetu kwa kujihusisha bila heshima katika maonyesho ya hadharani ya uzinzi na wanawake mbalimbali bila kujali kabisa hisia za mlalamishi,” Khalef anasema
-

Malawi yatangaza mlipuko wa polio
Poliomyelitis — neno la kimatibabu la polio ni virusi vya kuambukiza ambavyo hushambulia uti wa mgongo na kusababisha ulemavu usioweza kutenduliwa kwa watoto.
-

Kamati ya PAC Tanzania yabaini hasara ya bilioni 60 ATCL
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya shilingi bilioni 60.24 kwa mwaka wa fedha 2019 /2020.
-

Makundi yenye silaha nchini DR Congo yanawashikilia wajumbe waliotumwa na rais
Walienda huko kwa dhamira kutoka kwa Rais Felix Tshisekedi ili kujadili masharti ya kusitisha mapigano na kuwakomesha uharifu katika eneo hilo.
-

Babu atuhumiwa kumbaka mjukuu wake mkoani Kagera, nchini Tanzania
Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mzee aitwaye, Grevas Katemi (89) mkazi wa Nyamisebeyi, wilayani Biharamulo mkoani Kagera kwa tuhuma za kumwingilia kumbaka mjukuu wake wa miaka 20.
-

Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi Brazil imeongezeka hadi 104
Wafanyakazi wa uokoaji wamefanya kazi usiku na mchana kutafuta manusura wowote waliosalia kati ya matope na mabaki baada ya mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi kupiga jiji la Petropolis nchini Brazili, huku mamlaka ikisema Alhamisi…
-

Chad’s military junta accuses rebel leader of seeking Russian mercenaries aid
Timan Erdimi is being accused of soliciting the help of paramilitaries from a Russian private military contractor.
-

BioNTech kusafirisha vituo vya kuzalisha chanjo ya UVIKO 19 hadi barani Afrika
BioNTech ilisema inalenga kuanzisha “kituo cha kwanza cha uzalishaji wa chanjo katika Umoja wa Afrika”
-

UN chief denounces abuses by the Central African Republic army
In 2021, the UN accused the mercenaries and the Central African forces of abuse, alongside its ongoing condemnation of crimes committed against civilians by the country’s rebel groups.








