Mwanzo TV
-

Watu wanne na mtoto waganda kwa baridi hadi kufa katika mpaka wa US-Canada
Nyuzi joto siku ambapo miili hiyo ilipopatikana, ilikuwa nyuzi 35 chini ya Selsiasi.
-

Watu 17 wameuawa na wengine 59 wajeruhiwa katika mlipuko uliotokea magharibi mwa Ghana
Ajali ilihusisha lori lililokuwa likisafirisha vilipuzi vya kampuni ya uchimbaji madini, pikipiki na gari.
-

Algeria yabanduliwa nje ya michuano AFCON huku Mali na Gambia wakishinda
Algeria walikuja kwenye michuano hiyo na rekodi ya kutoshindwa kwa muda wa miaka mitatu iliyopita.
-

Kenya: Tukio la ajabu tembo ajifungua pacha wawili
mapacha hao — mmoja wa kiume na mmoja wa kike — walizaliwa na tembo anayeitwa Bora.
-

WHO: Idadi ya visa vya UVIKO 19 yapungua barani Afrika
Visa vya UVIKO-19 na idadi ya vifo imepungua kwa mara ya kwanza tangu wimbi la nne kuripotiwa
-

Mahakama ya Namibia yakataa kutambua ndoa kati ya watu wa jinsia moja
Wanandoa wawili waliooana nje ya Namibia walikuwa wameomba Mahakama Kuu kutambua ndoa zao.
-

Kampuni ya Amazon huenda ikasitisha ujenzi wa makao makuu yake mjini Cape Town
Ujenzi wa makao makuu unafanyika kwenye ardhi ambayo jamii za Khoisan huchukulia kuwa takatifu.
-

US diplomats in Sudan for talks on coup crisis
Since Tuesday, many shops were closed and streets barricaded around Khartoum.
-

CCM kuchuja waliowania kuchukua kiti cha Uspika
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho leo itakaa kuchuja na kufanya uteuzi wa mwisho kwa wagombea hao
-

Stampede kills at least 29 at religious event in Liberia’s capital
Police spokesman Moses Carter said the death toll “may increase”.







