Mwanzo TV
-

Mwanaume akamatwa kwa kumuua mwanae wa miezi 4
Mtoto huyo mchanga, ambaye mshukiwa anadai si mwanawe wa kumzaa, alifariki baada ya kuanguka sakafuni.
-

Tanzania: Watu 3,147 waliugua corona mwaka jana
Kati ya watu hao 2990 walikuwa hawajachanja chanjo ya ugonjwa huo.
-

Tedros ateuliwa kama mgombea pekee kwenye uongozi wa WHO
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus amehakikishiwa muhula wa pili baada ya kura ya kitaratibu Jumanne kumfanya kuwa mgombea pekee kabla ya uchaguzi wa viongozi mwezi Mei. Kiongozi wa kwanza Mwafrika…
-

Dhoruba kali yawaua watu 39 huko Madagascar na Msumbiji
Ripoti ya shirika la kudhibiti majanga nchini Madagascar ilionyesha kuwa watu 39 wamefariki na karibu 65,000 wameachwa bila makao
-

Wanajeshi wa Burkina Faso wakosolewa na mataifa mengine lakini waungwa mkono nchini mwao
Mamia ya watu walikusanyika katika uwanja wa Nation Square kusheherekea kung’olewa madarakani kwa Rais Kabore
-

Rais wa Malawi avunja baraza lake la mawaziri
Baraza la mawaziri lilivunjwa baada ya mazungumzo ya simu ya mkuu wa kupambana na ufisadi kuvuja na kusambaa mitandaoni
-

Mali inaitaka Denmark kuwaondoa wanajeshi wake kutoka nchini humo mara moja
Serikali ya jeshi ilisema katika taarifa kwamba “wanajeshi hao walitumwa nchini humo bila idhini.”
-

AFCON: Msongamano uwanjani wasababisha vifo vya watu wanane
Wanawake wawili wa miaka thelathini, wanaume wanne wenye umri wa miaka thelathini, mtoto mmoja, waliuawawa katika msongamano huo
-

Wanajeshi wa Burkina Faso wamuondoa madarakani Rais Kabore
Wanajeshi wametwaa mamlaka nchini humo kufuatia maasi yaliyotokana na kushindwa kwa rais kuwadhibiti waasi wa Kiislamu.
-

Abiria apatikana hai baada ya kusafiri saa 11 katika gurudumu la ndege
Mwanamume huyo anayeaminika kuwa kati ya umri wa miaka 16 hadi 35 alipatikana kwenye sehemu ya gurudumu la ndege hiyo.







