Mwanzo TV
-

Takriban watu 80 wafariki kutokana na dhoruba Ana kusini mwa Afrika
Msumbiji na vituo vya hali ya hewa vya kimataifa vilionya kwamba dhoruba nyingine, iitwayo Batsirai, imezuka kwenye Bahari ya Hindi na inaelekea nchi kavu
-

Mauaji yalivyotikisa mwezi Januari
Imani za kishirikina, tamaa ya mali na wivu wa mapenzi vimetajwa kuwa ni miongoni mwa sababu za mauaji hayo
-

Muimbaji wa wimbo ‘In My Maserati’ Olakira, atinga dili na kampuni ya magari Maserati
Kama sehemu ya mpango huo, nyota huyo atapata fursa ya kutumia magari ya Maserati Luxury Cars katika nchi yoyote atakayotembelea
-

Hospitali yakataa kumfanyia mgonjwa upandikazji hadi atakapopata chanjo ya UVIKO 19
Msemaji wa Hospitali ya Brigham and Women alithibitisha kwamba chanjo dhidi ya coronavirus “inahitajika” kwa wagonjwa wote wanaopandikizwa viungo.
-

Rais Lazarus Chakwera ataja baraza jipya la mawaziri
Orodha ya uteuzi wa mawaziri 12 iliyotolewa na ofisi yake inajumuisha mawaziri wawili wapya wengine wakiwa waliokuwa wamesimamishwa kazi
-

Rais wa Burkina Faso aliyeng’olewa madarakani yupo salama, chanzo cha chama kimesema.
Mapinduzi ya hivi karibuni yamesababisha hali ya sintofahamu Afrika Magharibi, ambapo kumekuwa na mapinduzi Mali na Guinea
-

UN: Watu 32 wauawa katika ghasia za kikabila Sudan Kusini
Zaidi ya watu 700 waliuawa na wengine kubakwa na kutekwa nyara huko Jonglei kati ya Januari na Agosti 2020
-

Guinea’s transitional prime minister cites multi-billion dollar mining shortfall
Beavogui was appointed the civilian head of the government last October by the junta that seized control the previous month.
-

Media: Liberal US Supreme Court justice Stephen Breyer to retire
US President Joe Biden has pledged to nominate a Black woman to the court in the event of a vacancy.








