Mwanzo TV
-

AFCON 2021: Mabingwa mara saba Misri wapata nafasi ya kujiunga na timu 16 bora
Misri, Ivory Coast,Mali,Gambia,Malawi na Cape Verde zimefuzu kuwa kati ya timu 16 bora.
-

Wanadiplomasia wakuu wa Amerika wamekwenda Sudan kwa mazungumzo kuhusu mzozo wa mapinduzi
Sudan imetikiswa na maandamano ya mara kwa mara na ukandamizaji wa haki za watu tangu unyakuzi wa kijeshi wa Oktoba 25
-

Kenya launches investigation into bodies found in River Yala
“Some of the bodies were tied with ropes, others had deep cuts and others had polythene bags on the heads…”~Haki Africa executive director Hussein Khalid
-

92-year old Malawian music legend now famous on TikTok
Giddes Chalamanda has no idea what TikTok is. He doesn’t even own a smartphone.
-

Billionaire Soon-Shiong opens first COVID-19 vaccines production plant in Africa
Africa currently manufactures less than one percent of all vaccines administered on the continent, according to the World Health Organization.
-

Uuzaji wa tikiti za Kombe la Dunia Qatar 2022 wazinduliwa
Dimba la Kombe la Dunia litaanza Novemba 21 hadi Desemba 18.
-

Sierra Leone yafutilia mbali msamaha kwa mganga mashuhuri aliyehukumiwa kwa kifo cha DJ.
DJ Clef alipatikana akiwa amefariki, huku viungo vyake na sehemu zake za siri zikiwa hazipo.
-

Mnyarwanda Salima Mukansanga amekuwa mwanamke wa kwanza kuwa mwamuzi wa mechi za AFCON
Salima alikuwa afisa wa nne wakati Guinea ilipoishinda Malawi mnamo Januari 10 mjini Bafoussam.
-

Inaumaa! Ghana yabanduliwa nje ya michuano ya AFCON
Mabingwa mara nne Ghana waliondolewa kwenye AFCON baada ya kuchapwa 3-2 na Wacomoro katika Kundi C Jumanne mjini Garoua.
-

Chad’s government releases jailed rebels and opposition figures
Former member of the armed MPRD peace and reconstruction movement among those freed.







