Mwanzo TV
-

Wanahabari wawili wa televisheni waachiliwa huru Sudan baada ya maandamano makubwa
Vikosi vya usalama vya Sudan vimewaachia wanahabari wawili wa kituo cha televisheni.
-

Dunia imerekodi idadi kubwa zaidi ya visa vya UVIKO 19 kwenye wiki moja
Zaidi ya visa milioni 6.5 vimeripotiwa kote duniani kati ya Desemba 22 na 28 2021
-

Tume ya Ukweli ya Gambia Inapendekeza Rais wa zamani Yahya Jammeh ahukumiwe
Tume hiyo ilipendekeza “kuwa Yahya Jammeh na wahusika wenzake wafunguliwe mashtaka katika mahakama ya kimataifa”
-

Mwandishi wa riwaya wa Uganda na mkosoaji wa serikali akamatwa
Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni,Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni, alipata sifa kwa riwaya yake ya kejeli ya mwaka 2020, “The Greedy Barbarian” ambayo inaelezea ufisadi…
-

Wachimba migodi 31 wauawa baada ya mgodi wa dhahabu kuporomoka
Takriban wachimbaji wadogo milioni mbili huzalisha takriban 80% ya dhahabu kila mwaka ikiwa ni takriban tani 80, kulingana na takwimu rasmi.
-

Fuvu la kichwa cha binadamu lagunduliwa baada ya shambulizi la fisi Kenya
Kundi la fisi limewaua watu wawili kwenye muda wa saa 24 katika kijiji kilichoko kilomita 50 tu mashariki mwa jiji la Nairobi
-

Rwanda Kuajiri Zaidi ya Walimu 300 kutoka Zimbabwe
Hatua hiyo inakuja miezi miwili tu baada ya Rais Paul Kagame kutoa ombi hilo wakati wa mkutano wa biashara na uwekezaji wa nchi hizo mbili.
-

Desmond Tutu, Prince Philip na DMX kati ya watu mashuhuri walioaga dunia mwaka wa 2021
Kuanzia kwa Mwanamfalme Philip wa Uingereza hadi mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Desmond Tutu, hawa ni baadhi ya watu mashuhuri walioaga dunia mwaka wa 2021.
-

Death toll from boat disaster off the coast of Madagascar rises to 85
A total of 138 people had been aboard the wooden vessel.








