• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Tag: Mwanzotv.com

Kiongozi wa Upinzani wa Uganda, Kizza Besigye, adaiwa kutekwa akiwa nchini Kenya.
Africa East Africa Politics Uganda

Kiongozi wa Upinzani wa Uganda, Kizza Besigye, adaiwa kutekwa akiwa nchini Kenya.

Asia GambaNovember 20, 2024

Mamlaka ya Uganda, ambayo ilisema kuwa zinachunguza taarifa za kupotea kwa Besigye, zimekuwa zikifanya ukandamizaji dhidi ya upinzani katika miezi ya hivi karibuni, kwa kuwakamata viongozi mashuhuri na kuwashtaki wanachama wa vyama vya upinzani.

Lawrence Mafuru afariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu
East Africa People Tanzania

Lawrence Mafuru afariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu

Asia GambaNovember 9, 2024

Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Nyasebwa Mafuru, amefariki dunia leo Novemba 9,2024 katika Hospitali ya Apollo nchini India.

CCM yataka haki uchaguzi serikali za mitaa, yasema hawahitaji upendeleo
East Africa Politics Tanzania

CCM yataka haki uchaguzi serikali za mitaa, yasema hawahitaji upendeleo

Asia GambaNovember 8, 2024

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.

Tamisemi yawataka wagombea wasioridhishwa na uteuzi wakaweke pingamizi
East Africa Politics Tanzania

Tamisemi yawataka wagombea wasioridhishwa na uteuzi wakaweke pingamizi

Asia GambaNovember 8, 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  waweke pingamizi ndani ya siku 2 kuanzia leo tarehe 08 – 09/11/2024.

CDC:Maambukizi ya Mpox yamepungua kidogo Barani Afrika
Africa Lifestyle & Health

CDC:Maambukizi ya Mpox yamepungua kidogo Barani Afrika

Asia GambaNovember 8, 2024

Mkuu wa Taasisi ya Afya ya Umoja wa Afrika Jean Kaseya amesema maambukizi ya mpox yamepungua kidogo barani Afrika, ingawa bado janga hilo halijaisha.

UTAFITI:Ongezeko la matumizi ya viuatilifu katika kuzalisha mboga za majani nchini chanzo cha magonjwa hatari ikiwemo Saratani
East Africa Food Security Social Issues Tanzania

UTAFITI:Ongezeko la matumizi ya viuatilifu katika kuzalisha mboga za majani nchini chanzo cha magonjwa hatari ikiwemo Saratani

Asia GambaNovember 7, 2024

Matokeo ya utafiti huo uliofanywa katika mikoa yote nchini, yanaonesha matumizi ya viuatilifu kwenye uzalishaji mboga za majani yanachangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa kwa binadamu kama vile saratani, kisukari na matatizo ya uzazi.

Msumbiji yatuma Wanajeshi kabla ya maandamano kuanza leo
Africa Politics

Msumbiji yatuma Wanajeshi kabla ya maandamano kuanza leo

Asia GambaNovember 7, 2024

Wanajeshi na polisi walikuwa wakifanya doria katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo, mapema leo Alhamisi, kabla ya maandamano yaliyopangwa ya kupinga matokeo ya uchaguzi ambayo upinzani unadhani yana udanganyifu.

Biden kuhutubia Wananchi baada ya Trump kushinda uchaguzi Marekani.
Europe North America Politics

Biden kuhutubia Wananchi baada ya Trump kushinda uchaguzi Marekani.

Asia GambaNovember 7, 2024

Biden mwenye umri wa miaka 81 alijitoa kwenye kinyang’anyiro dhidi ya Trump mnamo Julai na kumkabidhi uteuzi wa chama cha Democratic kwa makamu rais Kamala Harris, lakini sasa anatarajiwa kuona urithi wake ukibomolewa na urejesho wa kushangaza wa Trump.

Trump anusa ushindi dhidi ya Harris katika uchaguzi wa rais wa Marekani
Europe International North America Politics

Trump anusa ushindi dhidi ya Harris katika uchaguzi wa rais wa Marekani

Asia GambaNovember 6, 2024November 6, 2024

Mitandao ya habari ya Marekani imetangaza kwamba Trump alishinda majimbo muhimu ya Pennsylvania, Georgia, na North Carolina, na anaongoza dhidi ya Makamu wa Rais wa Democratic, Kamala Harris, katika majimbo mengine ingawa hayajatangazwa rasmi bado

Tanzania mbioni kuzalisha madini ya Niobium
East Africa Energy & Mining Tanzania

Tanzania mbioni kuzalisha madini ya Niobium

Asia GambaOctober 31, 2024

Madini ya Niobium hutumika katika mitambo ya uchorongaji katika utafiti na uchakataji wa mafuta, gesi pamoja na utengenezaji wa magari.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policyOkNo