Tanzania mbioni kuzalisha madini ya Niobium
Madini ya Niobium hutumika katika mitambo ya uchorongaji katika utafiti na uchakataji wa mafuta, gesi pamoja na utengenezaji wa magari.
Madini ya Niobium hutumika katika mitambo ya uchorongaji katika utafiti na uchakataji wa mafuta, gesi pamoja na utengenezaji wa magari.
Taarifa ya Polisi imekuja siku moja baada ya tukio hilo kusambaa katika mitandao ya kijamii ikionesha picha ya mjongeo ambayo inamuonyesha mwanaume mmoja ambaye ametambulika kwa jina la Derick Derick Junior akimpiga mwanaume mwengine hadi kumjeruhi na kisha kumtishia silaa.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wahakikishe wanalinda utamaduni na kujenga misingi ya kuhamasisha vijana na vizazi vijavyo kutambua na kuenzi historia na urithi wa Mtanzania.
Februari 24, 2021, aliyekuwa Rais wakati huo Hayati John Magufuli alitangaza kulivunja jiji la Dar es salaam na kupandisha moja kati ya manispaa zake kuwa jiji. Raisi Magufuli alitangaza uamuzi huo wakati wa uzinduzi wa daraja la juu la Kijazi lililopo Ubungo,hafla iliyohudhuriwa na viongozi waandamizi kadhaa wa Serikali pamoja na wadau wengine wa maendeleo ya Tanzania.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amebaini hayo akiwa kwenye ziara Mkoani Tabora ambapo amesikitishwa pia na kitendo cha baadhi ya Watoa huduma Mashuleni kuwatongoza Wanafunzi.
Sedoyeka anadaiwa kukiuka maadili ya viongozi ya umma kwa kumpandisha cheo mtumishi kwa upendeleo, kuingilia mchakato wa ununuzi wa viti na meza kampasi ya Babati na uhusiano wa karibu na mtumishi na kufanya uhamisho wa ndani wa mtumishi.
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Tanzania kuacha kuendelea na ongezeko la ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani, mashirika ya kiraia, waandishi wa habari, watu wa asili na watoa huduma za haki za binadamu.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza Mpango mkakati wa miaka mitano 2024/25 – 2029/30 wa Anga za juu utakaoiwezesha Tanzania kurusha satelaiti.
Zaidi ya watu milioni 17 walipiga kura siku ya Jumatano kwa ajili ya uchaguzi wa rais mpya na wabunge katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, ambayo ni miongoni mwa nchi maskini zaidi duniani licha ya kuwa na akiba kubwa ya gesi.
Kesi ishirini na moja za mpox zimeripotiwa katika eneo la Nakasongola kati ya jumla ya kesi arobaini na moja nchini kote kufikia tarehe 7 Oktoba, kulingana na wizara ya afya.