Tanzania news
-

Nape:Rais Samia ameirudishia heshima Tanzania
Nape ametoa kauli hiyo leo wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Samia, iliyoingia madarakani Machi mwaka jana, kufuatia kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Hayati John Magufuli.
-

Tanzania yapokea dozi milioni 8 za minyoo
Dawa hizo zimetolewa na Shirika la Wolrd Vission Tanzania na Canada, zitaanza kugawiwa kwa watoto hao kwenye kampeni maalumu inayotarajiwa kufanyika Juni na Julai mwaka huu.
-

Mwendokasi chanzo cha ajali iliyouwa wanne Songwe
Kamanda Ngonyaji amesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wa dereva wa basi la Kilimanjaro Express bwana Mjahidi Waziri (39) ambaye alikuwa akijaribu kuyapita magari mengine.
-

Mbowe kuongoza kikao cha kamati kuu CHADEMA
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, kupitia ukurasa wake wa Twitter ni kwamba maamuzi ya chama kutokana na ajenda mbalimbali zitakazojadiliwa yatatolewa baada ya kikao hicho.
-

Waziri wa Fedha nchini Tanzania asema uchumi wa nchi hiyo umeongezeka kwa 0.1%
Amesema mikopo kwa sekta binafsi ilikua kwa asilimia 10 Desemba 2021 ikilinganishwa na asilimia 3.1 Desemba 2020.
-

Wakazi 453 wakubali kuondoka kwa hiari hifadhi ya Ngorongoro
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amepokea orodha ya majina ya awali ya kaya 86 zenye watu 453 ambao wamekubali kuondoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kwa hiari huku wengine wakiendelea kujiandikisha.
-

Tanzania yaahidiwa kupewa Euro milioni 25 kutoka Serikali ya Ubelgiji
Serikali ya Ubelgiji imeahidi kuipatia Tanzania Euro milioni 25 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 62, kwa ajili ya kutekeleza program mpya ya maendeleo ya miaka mitano katika sekta ya elimu, inayotarajiwa kutekelezwa kuanzia mwaka…
-

Mchezaji wa Tembo Warriors apata shavu Uturuki
Leo alfajiri wachezaji wa Tembo Warriors wametoa heshima ya kumuaga mchezaji mwenzao Shedrack Hebron aliyechaguliwa kujiunga na club ya Yeditepe mjini Istanbul.
-

Aliyepandikizwa moyo wa Nguruwe afariki
Machi 9,2022 hospitali hiyo ilitangaza kifo cha mtu huyo aliyefahamika kwa jina la David Bennett(57), ambapo katika taarifa yao ilieleza kuwa afya ya Bennett ilianza kudorora na kuwa mbaya siku kadhaa zilizopita.
-

Sababu za BOT kutonunua dhahabu zatajwa
Waziri wa Madini nchini Tanzania, Dk. Doto Biteko, amesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekwama kununua dhahabu kutokana na viwanda vya uchenjuaji madini nchini humo kutoanza kufanya kazi.







