Tanzania news
-

Auawa baada ya kuuza gari yake kwa shilingi milioni 15
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, ACP Stella Mutabihirwa amesema kuwa tukio hilo limetokea Jumamosi Machi 05, 2022 wilayani Manyoni, ambapo siku ya tukio mfanyabiashara huyo alienda mnadani kuuza gari yake shilingi milioni 15.
-

Amuua mke kisha amzika kwenye shamba
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, ACP Nicodemus Katembo, amesema tukio hilo limetokea Februari 28, mwaka huu, katika kijiji cha Lipalwe mkoani Mtwara
-

Mbowe:Mimi nilikuwa naomba msifute mashtaka haya hadi ukweli udhihirike
Mbowe amesema alitamani sana kuona ukweli unadhihirika katika kesi hiyo kwani alitaka kuona wale walomtuhumu kwa kesi hiyo kuona watatoa ushahidi gani ambao utaidhihirishia dunia kwamba kweli yeye ni gaidi.
-

Mbowe na wenzake walivyotoka kwenye kitanzi cha kesi ya Ugaidi
Ilikuwa inasubiriwa siku saa na dakika kuweza tu kujua hatma ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu, juu ya kupatikana kwa uhuru wao uliochukuliwa na dola.
-

Tanzania kuendelea kusimamia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kiuchumi
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaidi Ali Khamis, mara baada ya kuwasili nchini akitikokea Ethiopia alikoshiriki Mkutano wa Sita wa Kamati Maalum ya Mawaziri ya Umoja…
-

Mbowe na wenzake kuanza kujitetea kesho.
Mahakama hiyo Februari 18,2022 iliwakuta na kesi ya kujibu Mbowe na wenzake katika kesi ya ugaidi inayowakabili, hatua ambayo ilikuja baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wake kwa kuwaita mahakamani mashahidi 13 kati ya…
-

Viongozi wa dini wamuomba Rais Samia kutumia busara kumaliza kesi ya Mbowe.
Hayo yamejiri jana Ikulu jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wa viongozi wa dini na Rais Samia Suluhu ikiwa ni mwendelezo wa ahadi ya rais huyo katika kukutana na makundi mbalimbali kuzungumza nayo.
-

Amuua baba yake mzazi kisa imani za kishirikina
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Richard Abwao amewaambia wanahabari leo kuwa tukio hilo limetokea juzi saa moja jioni katika eneo hilo, ambapo marehemu alishambuliwa akiwa nje ya nyumba yake na kukimbizwa hospitali ya Ndalla…
-

Dk Mwigulu:Sikumbuki siku hata moja ambayo tulikuwa hata na ratiba ya lunch kwenye ziara ya Rais
Dk Mwigulu ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumzia mafanikio ya ziara ya Rais Samia aliyoifanya katika nchi hizo siku chache zilizopita.
-

Kesi ya Makonda ngoma nzito, apewa siku 21 kuwasilisha hati kinzani
Alieyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam impe muda wa kujibu maombi yaliyofunguliwa na mwanahabari, Saed Kubenea ya kutaka kumfungulia kesi ya…







