Mwanafunzi wa darasa la sita ajinyonga baada ya kufokewa na wazazi wake
Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Benjamin Kuzaga amewaambia waandishi wa habari leo kuwa mwanafunzi huyo alifikia hatua ya kujitoa uhai baada ya kufokewa na wazazi wake.
Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Benjamin Kuzaga amewaambia waandishi wa habari leo kuwa mwanafunzi huyo alifikia hatua ya kujitoa uhai baada ya kufokewa na wazazi wake.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mara nyingi hulazimika kuwabadili viongozi mara kwa mara ili kuepusha madhara zaidi kwa Serikali na wananchi ambayo yangeweza kutokea.
Lema alikimbia Tanzania Novemba 2020, akiripoti vitisho vya maisha yake kufuatia uchaguzi uliokuwa na utata
Waliotia Saini mikataba hiyo Jijini Dar es Salaam, ni Waziri wa Fedha na Mpango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete.
Uamuzi huo umetolewa leo na kupitia waraka wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassala, ikiwa ni siku mbili tangu kutokea kwa uvamizi na uharibifu ndani ya kanisa hilo, lililopo Mtaa wa Jimboni, Kata ya Buhalahala mjini Geita.
Majeruhi huyo ayetambulika kwa jina la ‘Osam Milanzi’ na kutajwa kuwa mkazi wa Manzese Midizini, ametambuliwa siku moja baada ya kuanza kuongea na kujitaja kwa jina la Osam mkazi wa Manzese.
Taifa Gas ndiyo kampuni kubwa zaidi ya usambazaji wa LPG nchini Tanzania
Odinga ambaye siku ya Jumatano Februari 22 aliandaa mkutano wa maombi katika bustani ya Jeevanjee jijini Nairobi alisema kuwa wakenya wamechoka na serikali ya Kenya Kwanza kutotimiza ahadi walizotoa katika kipindi cha kampeni.
Bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,443 (maili 900) litasafirisha mafuta ghafi kutoka kwenye maeneo makubwa ya mafuta yanayotengenezwa katika Ziwa Albert kaskazini-magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanzania kwenye Bahari ya Hindi kwa ajili ya kupelekwa katika masoko ya kimataifa.
Bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,443 litasafirisha mafuta ghafi kutoka Ziwa Albert kaskazini magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanzania