Jenerali Mabeyo: Nimetoka jeshini, moyo wangu bado ni jeshi
Mabeyo ametoa kauli hiyo katika hafla ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 15 Julai 2022, ikiwa ni wiki kadhaa tangu astaafu jeshi tarehe 30 Juni 2022.
Mabeyo ametoa kauli hiyo katika hafla ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 15 Julai 2022, ikiwa ni wiki kadhaa tangu astaafu jeshi tarehe 30 Juni 2022.
Chanjo hizo zinapokelewa wakati mpaka kufikia Julai 12, 2022 Watanzania 10,511,804 walikuwa wamekamilisha dozi ya Uviko-19 huku Tanzania ikiwa imepokea jumla ya dozi 21,226,520.
Amesema ili kuhakikisha mazingira hayo yanaimarika, tayari mchakato wa kupitia Sheria, Kanuni na Sera ya Habari umeanza na unaendelea vizuri.
Alitaka watumishi wa kituo hicho kupatiwa mafunzo ili kuweza kuongeza uelewa zaidi juu ya suala hilo, ambapo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapher Siyani aliahidi kulifanyia kazi.
Symptoms of the illness include fever, headaches, fatigue and nosebleeds, the government’s chief medical officer Aifello Sichalwe said in a statement.
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo imesema kuwa, upungufu huo umesababisha jumla ya megawati 91 kutokua kwenye mfumo wa usafirishaji umeme hivyo baadhi ya maeneo yatakosa nishati hiyo kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 12 jiioni.
Aidha, NEC na ZEC zimesema zipo tayari kupokea mabadiliko ya kisheria ambayo yatapendekezwa katika kuzifanya taasisi hizo kuepushwa na malalamiko.
Ajali hiyo ilihusisha magari madogo mawili ya abiria aina ya Toyota pro box na Toyota wish ambayo yanayofanya safari zake kati ya mji wa Bariadi na Lamadi wilayani Busega ambayo yaligongana uso kwa uso.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema katika mikoa ya kusini mwa Tanzania kumeibuka ugonjwa wa ajabu, ambapo watu wengi wanavuja damu puani mfululizo na kuanguka.
Taarifa iliyotolewa na Hospitali hiyo leo Julai 12, 2022 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema ilibadilika ghafla akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).