Kenya: Uingereza, EU inaamini kutakuwa na uchaguzi wa kuaminika mnamo Agosti 9
Marriot alisema kuwa taifa lake halitaegemea upande wowote na halina ajenda ila kusaidia kuhakikisha watu wa Kenya wanakuwa na uchaguzi wenye mafanikio.
Marriot alisema kuwa taifa lake halitaegemea upande wowote na halina ajenda ila kusaidia kuhakikisha watu wa Kenya wanakuwa na uchaguzi wenye mafanikio.
Huku kukiwa zimesalia wiki tatu tu kabla ya Uchaguzi Mkuu utakaoashiria mwisho wa muhula wake, Rais Kenyatta amefanya uteuzi wa watu 142 katika bodi za mashirika mbalimbali ya serikali.
Hospitali kuu ya umma nchini Kenya inasema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu wanajitolea kuuza figo zao.
Viongozi wa Afrika Mashariki walikubaliana Jumatatu kutuma kikosi cha kikanda kujaribu kumaliza mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kutoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano.
East African leaders agreed Monday to establish a regional force to try to end conflict.
Somalia imekuwa soko muhimu la uuzaji wa nje wa miraa nchini Kenya tangu Uholanzi na Uingereza zilipoweka marufuku mwaka wa 2012 na 2014 mtawalia
Viongozi wa mataifa saba yanayojumuisha muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki watakutana Jumatatu kujadili hali ya usalama katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wiki kadhaa za ghasia zimezua mzozo wa kidiplomasia kati ya DRC na jirani yake Rwanda, ambayo inalaumu kwa kuibuka upya kwa wanamgambo wa waasi wa M23.
Jaji Mkuu Martha Koome anamtaka Rais Uhuru Kenyatta ang’olewe madarakani kwa kukosa kuwateua majaji sita waliopendekezwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC).
Uhuru, ambaye pia ni mlezi katika Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya amemtaja Raila kama mtu bora zaidi kumrithi, kwa kile naibu wake Ruto amekitaja kuwa usaliti.