UKATILI WA POLISI NAMANGA

Mfanyabiashara Isaya Mnuo amesema alikamatwa na Askari sita kwa kudadi alikua na bunda la mirungi akitafuna na kumpiga Hadi kusababishia uvimbe Katika mguu wake.

0

Mfanyabiasha Katika mji wa namanga Mpaka wa nchi ya Kenya na Tanzania ameiyomba serikali ya awamu ya sita Chini ya Rais Samia Suluhu Hassani kuwawaonya baadhi ya Askari wanaokiuka sheria,kanuni na taratibu ya kumkamata raia au mtuhumiwa kwa kuwapiga na kuwabambikizia kesi ambapo nikinyume na Sheria. Akizunguza na Mwanzo Tv bwana Isaya Mnuo manyabiashara wilaya ya longido katika mji mdogo wa namanga anaye jishughulisha na bishara ya uuzaji mishaki na vinyaji amesema alikamatwa na Askari sita kwa kudadi alikua na bunda la mirungi akitafuna na kumpiga Hadi kusababishia uvimbe Katika mguu wake.

Jinsi mfanyabiashara Isaya Mnuo alivyo fanyiwa ukatili na polisi

Akiendelea kufafanua bwa Mnuo amesema alikamatwa akiwa na wenzake wa tatu na kufikishwa Katika kituo Cha polisi namanga kisha wakupelekwa kituo Cha polisi central Arusha amabapo baada ya kufikishwa kituoni hapo wakupelekwa mahakamani nakufunguliwa kesi ya kuutumia mirungi mpaka Sasa kesi ipo mahakamani hivyo tuache Sheria ichukua mkondo wake.

In this article

East Africa Premier News Source with Top Stories, Special Features and more.
Uncensored & Undaunted