Amuua mumewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali kichogoni.
Chanzo cha tukio kimetajwa kuwa ni ugomvi uliotokana na mwanamke ambaye ni mtuhumiwa kuchelewa kurudi nyumbani na alipoulizwa ndipo ulizuka ugomvi uliopelekea kifo cha mwanaume.
Chanzo cha tukio kimetajwa kuwa ni ugomvi uliotokana na mwanamke ambaye ni mtuhumiwa kuchelewa kurudi nyumbani na alipoulizwa ndipo ulizuka ugomvi uliopelekea kifo cha mwanaume.
Ajenda ya 10/30 ni lengo ambalo Wizara ya Kilimo nchini Tanzania imejiwekea kulifikia mwaka 2030, ambapo kwa sasa Mpango wa Maendeleo wa miaka mitano unaisha mwaka 2025 unaeleza kwamba sekta ya kilimo inatakiwa ikuwe kwa wastani wa 5.7% ikiwa ndio malengo yaliyowekwa kwa Miaka mitano.
Msimamo huo umetolewa leo na Mkuu wa Idara ya Sheria na Katiba wa chama hicho, Wakili Boniface Mwabukusi, ikiwa ni maazimio ya kikao cha kamati kuu iliyokutana jana Jumapili chini ya mwenyekiti wake, James Mbatia.
Chibulunje amesema soko la dunia la bei ya mafuta imepanda kwa kiasi kikubwa, ambapo kwa mwezi Desemba 2021 tani moja ya mafuta ya petroli ilikuwa inauzwa dola 717, na hadi kufikia Machi mwaka huu ilipanda hadi kufikia dola 1,106 kwa tani moja.
Field Marshall Muthoni alijiunga na vuguvugu la maumau akiwa na takriban miaka 20. Kazi yake ya kwanza aliyofanya ilikuwa kama jasusi
Meya wa Hargeisa, mji mkuu wa Somaliland, alikadiria moto ulioteketeza soko la Waheen ulisababisha hasara ya hadi $2B
Jon Batiste alishinda tuzo tano zikiwemo Albamu Bora ya Mwaka.
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu wawili raia wa Burundi wakiwa na risasi mbili za bunduki aina ya AK 47 ambazo walikuwa wakizipeleka kwa mganga kwa ajili ya kuzifanyia zindiko ili wafaulu kwenye shughuli zao za ujambazi.
Onyesho la kwanza la wimbo huo litafanyika usiku wa leo kabla ya droo ya makundi inayotarajiwa kuanza saa 19:00 kwa saa za Qatar.
Miaka 20 iliyopita, Aprili 1, 2002, Uholanzi ilikuwa nchi ya kwanza ulimwenguni kuhalalisha “euthanasia”, ambapo mtu husaidiwa kujitoa uhai.