Lissu achukua fomu, Sativa amlipia
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ambaye pia ni Mgombea Uenyekiti wa Chama hicho, amefika Ofisi za Makao Makuu ya Chadema zilizopo Mikocheni jijini Dar es salaam na kuchukua rasmi fomu ya kugombea nafasi hiyo.