Fahamu Kaka ambao wanacheza kandanda ya kimataifa kutoka barani Afrika.
kuna ndugu kutoka Afrika wanaocheza soka katika mataifa tofauti barani Afrika na kimataifa.
kuna ndugu kutoka Afrika wanaocheza soka katika mataifa tofauti barani Afrika na kimataifa.
Kuvuka kwa nyumbu katika mto Mara kutoka hifadhi ya Serengeti hadi ya Maasai Mara imeorodheshwa nambari nane katika orodha ya Maajabu Makubwa ya Dunia.
Chini ya uongozi wa Muammar Gaddafi taifa la Libya lilishuhudia maendeleo katika nyanja tofauti ikiwemo elimu, afya, muundo msingi na makazi.
Kulingana na wanasaikolojia, serial killer ni mtu anayewaua watu watatu na zaidi, wengi wa wauaji hao wakijihusisha na vitendo vya ngono na waathiriwa wao.
Mji wa Igbo-Ora nchini Nigeria ni kati ya miji inayorekodi idadi kubwa ya visa vya kuzaliwa kwa watoto pacha duniani.
Mwafrika wa kwanza kushinda tuzo ya Nobel alikuwa ni Albert Luthuli mnamo mwaka wa 1960
Mataifa 108 yamefutilia mbali hukumu ya kifo kwa makosa yote, mataifa mengine 55 bado yanatoa hukumu hiyo kwa makosa ya kawaida.
Bingwa wa Marathon Eliud Kipchoge, ameteuliwa kuwa balozi maalum wa michezo ya Olimpiki ya 2024 mjini Paris Ufaransa.
Maandamano yamejumuisha wanafunzi, mashirika ya wafanyakazi na asasi za serikali wamekuwa wakidai mageuzi ya siasa.