Africa
-

Takukuru yawashikilia 40 kwa tuhuma za wizi wa milioni 450 kwa kutumia mifumo feki ya tehama
Kukamatwa kwa watu hao kumekuja siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya
-

Ubalozi wa Tanzania nchini India watoa ufafanuzi kuhusu Mtanzania aliyedai kufukuzwa ubalozini.
Ubalozi huo umetoa ufafanuzi ikiwa ni siku mbili tangu taarifa hizo zilizodai Sayuni aliyedaiwa kunyanyang’anywa hati ya kusafiria na mwenyeji wake kuwa alikosa huduma ubalozini hapo na kumtaka arudi ajaze maombi hayo kwa njia ya…
-

JWTZ yawaonya wanaotumia sare zao, wataka wajisalimishe.
Kaimu Mkurugenzi wa habari na uhusiano Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ) Luteni Kanali Gaudentius Ilonda ametoa kauli hiyo Leo Jijini Dodoma mbele ya wanahabari, ambapo amesema katazo hilo la mavazi ni kwa mujibu wa kifungu…
-

Mbunge wa Ngorongoro ashangazwa Polisi kumkamata bila kibali cha Spika
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai (CCM),ameshangazwa na hatua ya polisi kumkamata bila kibali cha Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kama ambavyo taratibu za ukamatwaji zinapaswa kufanywa kwa wabunge kutokana na kinga ya bunge…
-

BRICS announces ‘historic’ admission of six new members
The BRICS — Brazil, Russia, India, China and South Africa — agreed at their annual summit to make Argentina, Ethiopia, Iran, Saudi Arabia, Egypt and the United Arab Emirates full members from January 1.
-

Suspected Jihadists Kill 12 Niger Troops: State TV
Suspected armed Islamists have killed 12 soldiers in Niger’s remote southwest, state television reported on Tuesday, in the latest attack since army officers seized power last month. An anti-jihadist operation by national guards was “the…
-

Senegal brings back survivors of boat tragedy
More than six weeks after they left Senegal, 38 survivors from the boat tragedy off Cape Verde returned to Dakar via a military plane on Monday evening, the authorities said. They are among 101 people…
-

China leader makes first visit to Africa in five years
Mr Xi, who is also paying a state visit, arrived in Johannesburg on Monday night and was welcomed by President Cyril Ramaphosa.
-

Unachohitaji kujua kuhusu BRICS na wanachama wake
Kama mwenyekiti wa 2023 wa BRICS, Afrika Kusini inasema zaidi ya nchi 40 zimeonyesha nia ya kujiunga na umoja huo, ili kufungua faida kama vile kuongezeka kwa biashara na uwekezaji
-

Somalia yaamuru kupiga marufuku TikTok, Telegram
Serikali imesema kuwa yalikuwa yanatumiwa na “magaidi” kueneza propaganda







