Tanzania
-

Sugu aishutumu CCM kwa madai ya uporaji wa uchaguzi, ataka uwajibikaji wa matumizi ya nguvu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, ametoa tuhuma nzito dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa hakikushinda uchaguzi kwa ridhaa ya wananchi bali kilipora ushindi…
-

Lissu aomba kesi yake isikilizwe haraka kwa hofu ya afya
Ameeleza sababu tano kuu, ikiwemo kuwa yuko kizuizini tangu Aprili 2025, pamoja na hali yake ya afya inayohitaji uangalizi wa mara kwa mara kufuatia jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017.
-

Maasai Community Rejects Government Relocation Plans, Cites Human Rights Violations
The Maasai International Solidarity Alliance (MISA) has rejected the recommendations of two Presidential Commissions on land use and relocation policies in Tanzania, asserting the Maasai community’s right to remain on their ancestral lands.
-

NBS yaanza utekelezaji wa tafiti zitakazokusanya taarifa muhimu za biashara
Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeanza kutekeleza tafiti mbalimbali zenye lengo la kukusanya taarifa muhimu kuhusu shughuli za biashara katika sekta rasmi na isiyo rasmi, pamoja na uzalishaji viwandani nchini.
-

Ripoti ya Tume:Mfumo wa kodi unahitaji marekebisho makubwa
Akiwasilisha ripoti hiyo, Mwenyekiti wa Tume Ombeni Sefue alieleza kuwa mfumo wa sasa wa kodi una changamoto kubwa zinazowaumiza wananchi na kudhoofisha imani yao kwa serikali.
-

Hukumu yaondoa sharti la BAKWATA kwa taasisi za Kiislamu
Kwa mujibu wa uamuzi huo, taasisi na mabaraza mbalimbali ya Kiislamu sasa yanaweza kuendesha shughuli zao na kuchagua viongozi wao bila kulazimishwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja.










