Mbowe na wenzake kuanza kujitetea kesho.
Mahakama hiyo Februari 18,2022 iliwakuta na kesi ya kujibu Mbowe na wenzake katika kesi ya ugaidi inayowakabili, hatua ambayo ilikuja baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wake kwa kuwaita mahakamani mashahidi 13 kati ya 24 iliokuwa imepanga kuwaita, huku ikitoa vielelezo 39.