Lissu aomba kesi yake isikilizwe haraka kwa hofu ya afya
Ameeleza sababu tano kuu, ikiwemo kuwa yuko kizuizini tangu Aprili 2025, pamoja na hali yake ya afya inayohitaji uangalizi wa mara kwa mara kufuatia jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017.
Ameeleza sababu tano kuu, ikiwemo kuwa yuko kizuizini tangu Aprili 2025, pamoja na hali yake ya afya inayohitaji uangalizi wa mara kwa mara kufuatia jaribio la mauaji dhidi yake mwaka 2017.
Kwa mujibu wa MISA, ripoti za tume hizo zinategemea kwa kiasi kikubwa nyaraka za sera zinazopingwa, ikiwemo Ripoti ya Mfano wa Matumizi Mbalimbali ya Ardhi ya mwaka 2019 (MLUM), na zinapuuza ushahidi wa kisayansi unaopingana na simulizi la serikali.
Oleshangay said the recommendations appear to push toward removing people from Ngorongoro instead of addressing the concerns raised by residents.
Hukumu hiyo imetolewa na Jaji Angaza Mwipopo baada ya mahakama kuridhika na ushahidi uliowasilishwa na upande wa Jamhuri. Akisoma hukumu, Jaji Mwipopo amesema kuwa ushahidi uliotolewa ulithibitisha kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Desemba 14, 2024 katika eneo la Ipogolo.
Milipuko mitatu ilitokea jioni ya Jumatatu muda mfupi baada ya wakazi wa mji huo wenye Waislamu wengi kufungua futari ya mwezi wa Ramadhani. Milipuko hiyo ililenga soko kuu, lango la hospitali kubwa ya kufundishia ya Maiduguri, pamoja na eneo la ofisi ya posta.
In a video message shared online, Wine said he had left Uganda to handle what he described as critical engagements abroad and promised to return.
Kwa mujibu wa uamuzi huo, taasisi na mabaraza mbalimbali ya Kiislamu sasa yanaweza kuendesha shughuli zao na kuchagua viongozi wao bila kulazimishwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja.
Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Musoma, Michael Msonganzila, amelaani vikali tukio la Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi ndani ya eneo la kanisa wakati wa ibada, tukio lililotokea wakati wanachama wanawake wa Chadema BAWACHA, walipokuwa wakitoka ibadani.
According to the statement, the envoy’s visit will help provide a clearer assessment of the situation and address issues that have been raised by the Commonwealth.
Uamuzi wa mahakama unatarajiwa kufafanua iwapo hatua zilizochukuliwa wakati wa uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2020 zilizingatia viwango vinavyotakiwa chini ya sheria za Afrika kuhusu haki za binadamu na uchaguzi.