Social Issues
-

Hukumu yaondoa sharti la BAKWATA kwa taasisi za Kiislamu
Kwa mujibu wa uamuzi huo, taasisi na mabaraza mbalimbali ya Kiislamu sasa yanaweza kuendesha shughuli zao na kuchagua viongozi wao bila kulazimishwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja.
-

Kanisa Katoliki Musoma lalaani Polisi kuwapiga mabomu BAWACHA kanisani
Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Musoma, Michael Msonganzila, amelaani vikali tukio la Jeshi la Polisi kurusha mabomu ya machozi ndani ya eneo la kanisa wakati wa ibada, tukio lililotokea wakati wanachama wanawake wa Chadema …
-

Tanzania yajitetea UNHRC, yakemea mataifa ya Magharibi kwa tathmini yenye upendeleo
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasilisha msimamo wake mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikikosoa baadhi ya nchi za Magharibi na taasisi za kimataifa kwa kile ilichodai…
-

Jamhuri yakimbilia Mahakama ya Rufani Baada ya Mahakama Kuu Kukataa Ushahidi wa Nyongeza
Mahakama ilibaini kuwa notisi iliyowasilishwa na Jamhuri ilikuwa ya maelezo ya nyongeza yasiyoangukia katika masharti ya kifungu hicho, hivyo haikuwa na msingi wa kupokelewa katika hatua ya sasa ya shauri.
-

Shahidi aeleza hotubu ya Lissu ilivyomshawishi kuunga mkono agenda ya “No Reform No Election”
Shahidi huyo alipoulizwa namna alivyobadilika kutoka kuwa mtuhumiwa wa kupanga maandamano yasiyo na kibali hadi kuwa shahidi katika kesi ya uhaini, P6 alijibu kuwa hafahamu.











