Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Kizza Besigye, “anaumwa vibaya” gerezani: Wakili
Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Kizza Besigye, anasema kuwa “anaumwa vibaya” gerezani siku tatu baada ya kuanza mgomo wa kula kupinga kizuizi chake, alieleza mmoja wa mawakili wake.