Tanzania news
-

Rais wa Hungary kutua Tanzania leo kwa ziara ya kikazi.
Rais wa Hungary, Katalin Novak anatarajiwa kuwasili nchini leo kwa ziara ya kikazi ya siku nne.Kiongozi huyo anawasili nchini kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambapo takuwa nchini kwa siku nne kuanzia leo hadi…
-

Mkakati wa kuutokomeza UKIMWI nchini Tanzania ifikapo 2030.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya nchini humo bi Ummy Mwalimu ambaye pamoja na mambo mengine ameeleza kuwa katika kutekeleza hayo Tanzania imejipanga kuutokomeza UKIMWI kwa kuzingatia miongozo inayotolewa na Shirika la Afya Duniani,…
-

Polisi yapiga marufu maandamano ya CCM ya kupongeza uwekezaji wa bandari.
Hivi karibuni Mwenyekiti wa UVCCM, Mohammed Kawaida kupitia vyombo vya habari alitoa taarifa ya kuhamasisha maandamano ya kuunga mkono Serikali katika uwekezaji wa bandari yaliyotarajiwa kufanyika Wilaya zote kuanzia Julai 18 mwaka huu.
-

Watatu wadaiwa kumbaka mwanafunzi mkoani Shinyanga
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawashikilia vijana watatu kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa shule ya sekondari Kishimba iliyopo Manispaa ya Kahama mkoani humo wakati akitoka dukani kununua vitu.
-

CCM yataka maoni chanya ya wananchi kuhusu mkataba wa bandari yasikilizwe.
Wito huo umetolewa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan kilichofanyika Julai 09, jijini Dodoma.
-

Mawaziri SADC wajadili hali ya amani DRC na Msumbiji
Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi Ndaitwah ambapo pamoja na mambo mengine, amezisihi Nchi…
-

Ummy:Punguzeni semina wananchi wapate huduma
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini humo kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi.
-

Lissu:Mifumo ya viwango vya kodi inapaswa kuwa wazi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema mifumo na viwango vya kodi inapaswa kuwa wazi ili anayelipa ajue analipa kiasi gani na anayekusanya ajue anakusanya kiasi gani.
-

Bei mpya za mafuta kuanza kutumika leo nchini Tanzania, huku bei ya mafuta ya Petrol ikishuka
Katika taarifa iliyotolewa jana na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeeleza kuwa bei kikomo zinazoanza leo Julai 5, 2023 kuwa bei za rejareja za mafuta ya petroli na dizeli yaliyopokelewa…
-

Mwanafunzi ajinyonga kisa kutoipenda shule aliyokuwa akisoma
Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Lumbira kata ya Luanda wilayani Mbozi mkoani Songwe,Japhari Mwashitete (16) amekutwa amefariki dunia kwa kujinyonga darasani huku kukiwa na ujumbe wa sababu ya kujinyonga ukieleza kuikataa…







