Tanzania news

  • Mwili Wa Mchezaji Christian Atsu Watua Nchini Ghana,Wapokelewa Na Majeshi.

    Mwili Wa Mchezaji Christian Atsu Watua Nchini Ghana,Wapokelewa Na Majeshi.

    Atsu mwenye umri wa miaka 31,alipatikana ameaga dunia katika vifusi vya nyumba yake mjini Hatay Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lilotokea Februari 6 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 4,000 huku maelfu ya wengine…

  • GST: Hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na tetemeko la ardhi Dodoma.

    GST: Hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na tetemeko la ardhi Dodoma.

    Akizungumza leo na waandishi wa habari Mjiolojia Mwandamizi kutoka Taasisi ya Jiolojia na na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Gabriel Mbogoni alisema kuwa  Februari 16, mwaka huu saa 12.13 jioni tetemeko lenye ukubwa wa Richert…

  • KUMBUKUMBU:Miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Maalim Seif, gwiji wa siasa za Tanzania

    KUMBUKUMBU:Miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Maalim Seif, gwiji wa siasa za Tanzania

    Maalim Seif amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, huku akiwa ametumikia nyadhfa mbalimbali Serikalini lakini hadi umauti unamfika alikuwa makamu wa kwanza wa rais wa SMZ kwa chini ya siku 100, akiwa sehemu…

  • Bilioni 7 kutumika kukarabati kivuko cha MV Magogoni

    Bilioni 7 kutumika kukarabati kivuko cha MV Magogoni

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema, ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni ni juhudi na mikakati ya serikali katika kuboresha miundombinu mbalimbali ya usafirishaji nchini.

  • Mtuhumiwa wa mauaji adaiwa kujinyonga kwa kutumia nguo yake ya ndani akiwa mahabusu

    Mtuhumiwa wa mauaji adaiwa kujinyonga kwa kutumia nguo yake ya ndani akiwa mahabusu

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame, akitoa ufafanuzi kuhusu kifo hicho jana, alidai kuwa mtuhumiwa alichukua uamuzi huo akiwa mikononi mwa polisi, akituhumiwa kuhusika na mauaji na kukodi watu kwa ajili ya kutekeleza…

  • Nyuki wakatisha uhai wa mwalimu mkoani Kigoma.

    Nyuki wakatisha uhai wa mwalimu mkoani Kigoma.

    Tukio hilo limetokea Februari 13, 2023  katika eneo la mtaa wa Mwasenga, Manispaa ya Kigoma Ujiji, muda mfupi mara baada ya watoto waliokuwa wakitoka shule kurusha mawe juu ya mwembe huo na kusababisha nyuki kuzagaa…

  • Jezi za Simba zakwama Ethiopia

    Jezi za Simba zakwama Ethiopia

    Akizungumza leo Februari 15, 2023 Ahmed Ally amesema jezi hizo zilianza kukwama nchini China hivyo zilifanyika juhudi za kusukuma mzigo huo ili kuachiwa kwa haraka na baada ya kuachiwa ukakwama tena Ethiopia.

  • Rais Samia kununua magoli ya Simba na Yanga

    Rais Samia kununua magoli ya Simba na Yanga

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kununua kila goli litakalofungwa katika michezo ya kimataifa ya Simba na Yanga itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii. 

  • Vitabu 16 vyapigwa marufuku kutumika katika shule nchini Tanzania

    Vitabu 16 vyapigwa marufuku kutumika katika shule nchini Tanzania

    Vitabu hivyo16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa katika baadhi ya shule si kama vitabu haya kiada wala ziada ambapo maudhii yake yanakizana na Mila, Desturi na Utamaduni wa Mtanzania na yanahatarisha ukuaji wa wanafunzi.

  • Kauli ya Mwigulu yamuweka pabaya

    Kauli ya Mwigulu yamuweka pabaya

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ameamuru kufutwa katika taarifa rasmi za Bunge maneno aliyotamka Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba katika kikao cha pili cha mkutano wa 10 wa Bunge la Jamhuri…