Tanzania news
-

Tanzania na Marekani kushirikiana kibiashara kupitia Sekta binafsi
Serikali ya Tanzania imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo…
-

Idris Elba kufungua studio ya filamu nchini Tanzania
Hii ni baada ya Elba na mkewe, Sabrina Elba, kukutana na Rais Suluhu kando ya Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos, Uswizi, mapema mwezi huu
-

Jeshi la Polisi Tanzania lawaondoa hofu wananchi juu ya taarifa ya Ubalozi wa Marekani
Taarifa iliyotolewa leo January 26,2023 kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi imeeleza kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwari kwani matukio makubwa yanayoweza kuleta hofu kwa Wananchi yanaendelea kudhibitiwa.
-

Katekista adaiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu mkoani Njombe
Simon Njavike (43) mkazi wa Mlangali wilayani Ludewa, mkoani Njombe, ambaye ni katekista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mlangali amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya wilaya hiyo akidaiwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri…
-

Tanzania kurejea upya gharama za upandikizaji mimba.
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya, imejipanga kurejea upya gharama za upandikizaji wa mimba kwa wananchi wenye matatizo ya uzazi na kutopata watoto, ili kuwapunguzia mzigo wa gharama kubwa endapo watajiunga na bima ya…
-

Tanzania opposition leader Tundu Lissu returns from exile
Lissu, who was shot 16 times in 2017 and has spent most of the years since in Belgium, arrived on a flight from Brussels via Addis Ababa
-

Mwili wa Mtanzania aliyefia Ukraine kurudishwa Tanzania kwa ajili ya maziko
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, nchini Tanzania, Dk Stergomena Tax mtanzania huyo alikwenda nchini Urusi mwaka 2020 kwa ajili ya masomo ya shahada ya uzamili katika fani…
-

Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka dada yeke.
Mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, Frank Kigomba (31) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Shilingi 500,000 kwa kosa la kumbaka dada yake wa tumbo moja mwenye umri wa miaka 15.
-

Polisi mkoani Kagera yaua watu wawili wanaodhaniwa kuwa majambazi
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, William Mwampaghale amesema tukio hilo limetokea Januari 21, 2023 saa 3:35 usiku katika maeneo ya Barabara ya Kumunazi kwenda Relenge, Wilaya ya Ngara.
-

Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa kosa la kumpiga mumewe na nyundo
Mwanamke mmoja huko Zambia amehukumiwa kifungo cha miezi 12 jela kwa kosa la kumpiga mumewe baada ya kukataa kumpa pesa za karo, vitabu na mahitaji mengine ya watoto.







