Miaka 48 ya CCM, yaendelea kushika dola
Chama tawala nchini Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) leo kinaadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake huku kikijivunia kuendelea kushikilia dola nchini humo.
Chama tawala nchini Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) leo kinaadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake huku kikijivunia kuendelea kushikilia dola nchini humo.
Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za Airbus A220-300 ambazo zimekuwa zinapata hitilafu mara kwa mara, yanasababisha kukosa mapato wastani wa Sh. bilioni 127.3 kwa mwaka.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa leo, bei ya petroli kwa rejareja katika Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 0.957, dizeli kwa asilimia 2.18 na mafuta ya taa kwa asilimia 1.25.
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwambukusi, amesema kuwa TLS siyo kikundi cha kigaidi bali ni taasisi halali inayofanya kazi kwa mujibu wa sheria, ikiwa na haki ya kuishauri, kupongeza, na hata kuikosoa serikali pale inapobidi.
Wanajeshi wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameuawa katika mapigano yaliyotokea katika kipindi cha siku kumi zilizopita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wasira ametoa mfano wa Donald Trump, ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Marekani katika uchaguzi wa hivi karibuni, akisema kuwa licha ya umri wake mkubwa, Wamarekani walimchagua kwa sababu ya sera zake na si kwa kuangalia umri wake.
Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi kutoka kwa Jeshi la Polisi au Chadema kuhusu nini chanzo cha uwepo wa askari hao ambao wamezuia waandishi wa habari waliofika kwa ajili ya mkutano uliopaswa kufanyika saa tano asubuhi kamili.
Waswahili wanasema leo ndio leo, inyeshe mvua liwake jua lazima kieleweke hivi ndivyo unaweza kusema leo katika Mkutano Mkuu wa Chadema ambapo wanachadema wanaamua hatma yao katika safu yao ya uongozi ni nani ataongoza gurudumu la chadema kama Mwenyekiti Taifa.
Ameeleza pia msukumo wake wa kutia nia ya kugombea nafasi hiyo umetokana na changamoto wananchi wanazopitia.
Wizara ya Afya nchini Tanzania imesema mpaka January 15, 2025, majibu ya uchunguzi wa kimaabara kutoka kwa Wahisiwa wa Ugonjwa wa Marburg waliochukuliwa sampuli hizo hayajathibisha uwepo wa virusi hivyo.