Tanzania yaendelea na makubaliano ya mkataba wa bandari na kampuni ya DP World licha ya ukosoaji
Kampuni kubwa ya usafirishaji ya Dubai DP World ilitia saini mikataba mitatu siku ya Jumapili na serikali ya Tanzania ya kuendesha sehemu ya bandari ya Dar es Salaam kwa miaka 30 chini ya mkataba wenye utata unaohusu bandari zote za nchi.