Tanzania
-

Majimbo mapya ya Uchaguzi yaliyotangazwa na INEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanzishwa kwa majimbo mapya nane ya uchaguzi pamoja na kubadilishwa kwa majina ya majimbo mengine 12, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
-

European Parliament Condemns Arrest of Tanzanian Opposition Leader Tundu Lissu
The European Parliament also voiced its opposition to the death penalty, calling for the Tanzanian government to stop its crackdown on opposition parties, civil society and journalists.
-

European Parliament Debates Resolution on Tundu Lissu’s Arrest and Risk of Execution
Although the resolution condemning his arrest was debated, the vote is scheduled for today May 8th 2025.
-

Siasa za visasi zadaiwa kukitafuna CHADEMA, G55 watangaza kujiondoa
Kundi la viongozi wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), maarufu kama G55, limetangaza rasmi kujiondoa katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania, likidai kukithiri kwa ukiukwaji wa katiba, ubaguzi na siasa…
-

European Parliament To Hold Emergency Debate On Tundu Lissu’s Case Today
The debate will take place from 13:00 to 22:00 CET
-

Bunge la Ulaya kujadili kesi ya Tundu Lissu Mei 7, 2025.
Bunge la Ulaya linatarajia kukutana tarehe 7 Mei 2025 kwa ajili ya mjadala wa dharura kuhusu kesi inayomkabili Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu.
-

Lissu ni ama afikishwe Mahakamani kesho ama aanze mgomo wa kula akiwa gerezani
Lissu ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa alikamatwa tarehe 9 Aprili 2025 majira ya saa za jioni akiwa Ruvuma muda mchache mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Mbinga.Usiku huo huo alisafirishwa hadi…
-

European Parliament to Debate Tundu Lissu’s Case on May 7th
The European Parliament’s debate will focus on issues of fundamental freedoms, human rights and democracy in general, under President Samia Suluhu Hassan’s administration, which has faced allegations of undermining democratic freedoms.
-

Uganda yakamata mtuhumiwa mkuu wa Utekaji wa Mtalii wa Marekani Mwaka 2019
Kimberly Sue Endicott, raia wa Marekani, pamoja na dereva wake raia wa Uganda walitekwa nyara tarehe 2 Aprili, 2019 na watu wenye silaha waliodai fidia ya dola 500,000 za Kimarekani.








