Mtoto Wa Mwaka Mmoja Miongoni Mwa Waliobakwa Katika Vita Vinavyoendelea Nchini Sudan
UNICEF imebaini kuwa kesi 221 za ubakaji dhidi ya watoto zimeripotiwa rasmi tangu mwanzo wa mwaka 2024, lakini idadi halisi inaweza kuwa kubwa zaidi. Waathiriwa ni pamoja na wavulana na wasichana, ambapo theluthi moja ya waathiriwa ni wavulana.