Idadi ya Wafugaji jamii ya kimasai wanaohama kutoka Ngorongoro yatajwa kuongezeka
Idadi ya jamii ya wafugaji wanaohama kwa hiyari kutoka katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwenda katika Kijiji cha Msomera, Wilaya ya Handeni, mkoani Tanga imetajwa kuongezeka siku hadi siku, tangu zoezi hilo lilipoanza.