Makundi ya Haki za Kibinadamu Kuandaa Maandamano Nairobi, Yadai Kizza Besigye Aachiliwe
Makundi hayo yalitangaza mipango ya maandamano ya amani tarehe 21 Februari 2025, kuandamana hadi Ubalozi wa Uganda na Bunge la Kitaifa la Kenya
Makundi hayo yalitangaza mipango ya maandamano ya amani tarehe 21 Februari 2025, kuandamana hadi Ubalozi wa Uganda na Bunge la Kitaifa la Kenya
The groups announced plans for a peaceful protest on February 21st 2025, marching to the Ugandan High Commission and Kenya’s National Assembly
Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa kuanzia mwaka huu, wanahabari nchini Tanzania watatolewa kadi za habari za kidijitali kama sehemu ya mpango wa serikali wa kuboresha sekta ya habari.
Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi leo Jumanne Februari 18, 2025, kwenye Uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Jijini Mwanza, ameshauri kuzingatiwa kwa Ibara ya Tisa ya Katiba ya Tanzania yenye kuhimiza kuhusu utu, Upendo na utii kama suluhu ya migogoro mingi ya kijamii.
The Kenya Hospital Association (KHA), which manages Nairobi Hospital, has assured the public that its commitment to providing quality healthcare services remains unaffected despite an ongoing legal battle.
Elon Musk’s artificial intelligence company unveiled Monday the latest version of its chatbot, Grok 3, which the billionaire hopes will find traction in a highly competitive sector contested by the likes of ChatGPT and China’s DeepSeek.