Serikali ya Kenya yaanzisha msako dhidi ya raia wa kigeni nchini.
Kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya Mambo ya Ndani, raia wa kigeni 20,000 wameinga nchini tangu mwezi Juni.
wordpress-seo
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6114Kulingana na taarifa iliyotolewa na wizara ya Mambo ya Ndani, raia wa kigeni 20,000 wameinga nchini tangu mwezi Juni.
Nyama ya mbwa imekuwa kati ya vyakula vinavyopendwa sana nchini Korea kusini ikiaminika kuwa mbwa milioni moja huliwa kila mwaka.
Mwaka wa 2020, India ilirekodi visa 28,046 vya ubakaji ikiwa ni takriban visa 77 vya ubakaji kila siku.
Taliban inataka kushirikishwa katika mijadala ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) Marekani
Pacha wawili kutoka Japan wamethibitishwa na Guiness World Records kuwa pacha wazee zaidi duniani wakiwa na umri wa miaka 107 na siku 300.
Kazi ambazo wanawake Afghanistan wanaruhusiwa kufanya pekee ni zile ambazo wanaume hawawezi kufanya, kama kusafisha vyoo vya wanawake. Wafanyakazi wanawake…
“I am a fighter, and I will always be a fighter inside and outside the ring…I
am accepting your nomination as candidate for president of the Republic
of the Philippines.”
Afghanistan ni taifa linaloongoza katika upanzi wa mmea unaojulikana kama afyuni. Hutumika katika utengenezaji wa dawa tofauti za kulevya ikiwemo
heroini.
Ilichukua Taliban siku10 pekee kuiteka Afghanistan baada ya kuondoka kwa majeshi ya Amerika na kumlazimsha Rais Ashraf Ghani kutorokea Falme za Kiarabu, ila Taliban ni nani haswa?
Wanamgambo wa Taliban washeherekea kuondoka kwa majeshi ya Marekani kwa kufyatua risasi hewani.