kenya
-

Heche atoa wito kwa Ruto kumsaidia kumpata Twaha Mwaipaya aliyeritopiwa kutekwa Kenya
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, ametoa wito kwa Rais wa Kenya, William Ruto, na serikali yake kusaidia kuhakikisha mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa wa upinzani kutoka Tanzania,…
-

Idadi ya waliofariki nchini Kenya kwenye ajali ya barabara Mtito Andei yafikia 24
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwenye ajali iliyotokea katika barabara kuu ya Nairobi kuelekea Mombasa nchini Kenya imefikia watu 24. Hii ni baada ya watu wenginbe wawili kuaga dunia wakipokea matibabu. Ajali hiyo ya Jumapili…
-

Rescuers search for seven people in Nairobi building collapse
Rescuers were searching for seven people feared trapped after a multi-storey building under construction collapsed in Kenya’s capital on Friday, the interior minister said. Videos shared online showed a dramatic crash and huge clouds of…
-

Emergency nurseries rescue DR Congo’s Ebola orphans
A caregiver wore a protective gown and gloves as she bottle-fed a baby — one of hundreds of children orphaned by the Democratic Republic of Congo’s Ebola outbreak. With the disease still spreading five months…
-

Gachagua na Linda Mwananchi Wakutana: Nini Kinapikwa?
Wafuasi wa upinzani nchini Kenya wanapoendelea kusubiri kwa hamu na ghamu kwa viongozi wa upinzani kumtangaza atakayekabiliana na Rais William Ruto katika uchaguzi mkuu ujao, kiongozi wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP),…
-

Four more Ebola cases detected in Kenya, bringing total to seven
Kenya has confirmed four new Ebola cases, the health ministry said Saturday, including another relative of the first victim and three healthcare workers who treated him. The country had not reported a single case of…
-

Kenya Yathibitisha Kisa cha Tatu cha Ebola, 127 Wakiwa Karantini
Serikali ya Kenya imethibitisha kisa cha tatu cha ugonjwa wa Ebola unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo, huku watu 127 waliokuwa na mawasiliano ya karibu na wagonjwa wakiwekwa karantini katika juhudi za kuzuia kuenea kwa ugonjwa…
-

Governor Anne Waiguru to Go for the Top Seat in 2032
Kirinyaga Governor Anne Waiguru has declared her intention to run for the presidency come 2032, setting her sight on succeeding President William after his re-election in 2027. Waiguru announced her ambition on Tuesday, days after…
-

Mlinzi wa Zamani wa Raila Aeleza Dakika za Mwisho Kabla ya Kifo Chake
Aliyekuwa mlinzi wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, Maurice Ogeta amesimulia matukio ya dakika za mwisho kabla ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe akisema aliona ishara zilizomfanya kuhisi kuwa hali haikuwa shwari hospitalini.…








