kenya

  • Ebola: Watu 108 Wawekwa Karantini Kenya, Ufuatiliaji Ukiendelea

    Ebola: Watu 108 Wawekwa Karantini Kenya, Ufuatiliaji Ukiendelea

    Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza kuwa watu 122 waliotagusana na mgonjwa wa kwanza kuthibitishwa kuwa na virusi vya Ebola wametambuliwa na kuthibitishwa huku 108 kati yao wakiwekwa karantini kwa ufuatiliaji wa karibu. Katika taarifa…

  • Dorcas Rigathi Aonya kuhusu Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya Miongoni mwa Vijana

    Dorcas Rigathi Aonya kuhusu Matumizi ya Pombe na Dawa za Kulevya Miongoni mwa Vijana

    Mke wa aliyekuwa Naibu Rais Mchungaji Dorcas Rigathi amepaza sauti kuhusu kile alichokitaja kama ongezeko la changamoto zinazowakabili wavulani nchini, akionya kuwa matumizi ya pombe na dawa za kulevya yanaharibu familia na kuchangia vifo vya…

  • Clashes lead South Africa to withdraw asylum processing order

    Clashes lead South Africa to withdraw asylum processing order

    The South African government said Friday it had withdrawn an order on the processing of asylum applications that led to clashes between foreign nationals and anti-migrant locals. Violence erupted in Johannesburg’s Soweto and the east…

  • Kenya, South Sudan Kick Off Naivasha Container Depot Project

    Kenya, South Sudan Kick Off Naivasha Container Depot Project

    Kenya and South Sudan are expected to deepen bilateral relations as the two countries explore more avenues for mutually beneficial business. Officials from the two nations witnessed the ground-breaking ceremony for South Sudan’s internal container…

  • Ruto Awakaba Koo Wapinzani: “Kenya inahitaji Kiongozi Mwenye Akili”

    Ruto Awakaba Koo Wapinzani: “Kenya inahitaji Kiongozi Mwenye Akili”

    Rais William Ruto amewashambulia viongozi wa upinzani watakaokabiliana naye katika kinyang’anyiro cha kuelekea Ikulu mwakani, akisema Kenya ni nchi ya kisasa na yenye masuala na changamoto nyingi hivyo inahitaki kiongozi mwenye akili na uelewa wa…

  • Ten quarantined as Kenya intensifies Ebola response

    Ten quarantined as Kenya intensifies Ebola response

    The Ministry of Health has heightened its response to the Ebola virus after the country reported its first case, with now strengthened contact tracing. As of this morning, 10 people are in quarantine facilities while…

  • Kenya yathibitisha kisa cha kwanza cha Ebola, mgonjwa akifariki

    Kenya yathibitisha kisa cha kwanza cha Ebola, mgonjwa akifariki

    Kenya imerekodi kisa cha kwanza cha ugonjwa wa Ebola aina ya Bundibugyo (BDBV), baada ya raia mmoja wa Kenya aliyekuwa akiishi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kufariki kutokana na ugonjwa huo. Waziri wa Afya…

  • Matiang’i: Ruto Hawezi Kujitenga na Vifo vya Mto Yala

    Matiang’i: Ruto Hawezi Kujitenga na Vifo vya Mto Yala

    Kiongozi wa chama cha Jubilee Fred Matiang’I amemtaka Rais William Ruto kuwacha kuwapotosha wakenya kuhusu mauaji yaliotokea Mto Yala, akisema kuwa hawezi kamwe kujitenga na maamuzi ya kiusalama yaliyofanywa wakati alipohudumu kama Naibu wa Rais…

  • Seneta Sifuna Ajipanga na Chama cha TEP Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027

    Seneta Sifuna Ajipanga na Chama cha TEP Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027

    Seneta wa kaunti ya Nairobi na kiongozi wa mrengo wa Linda Mwananchi Edwin Sifuna amezindua chama kipya cha kisiasa cha The Equitable Party of Kenya (TEP) ambacho anatarajiwa kutumia kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa…

  • Speaker Wetang’ula Calls for Stronger EALA Role in East African Integration

    Speaker Wetang’ula Calls for Stronger EALA Role in East African Integration

    National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has called on the East African Legislative Assembly (EALA) and parliaments across the region to rise to the occasion by translating regional policies into laws and supporting projects capable of…